Recent content by maria pia

  1. maria pia

    Hivi wahaya tumewakosea nini Polisi?

    Yaa u a ryt mkuu Sikuhizi wachaga wengi ndo mapolisi
  2. maria pia

    Nifanyeje na mimi niwe na furaha

    lazima ukubaliane na hali halisi then utakuwa happy, unless utaishia kukosa raha tu
  3. maria pia

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa mwana JF ndani ya shela

    ama kweli mwenye dada hakosi shemeji hongera shost
  4. maria pia

    Nitamwachaje Huyu binti?

    kutakwa sio kesi. mi cjawahi chezewa kijana
  5. maria pia

    Settings za net airtel

    Ok. Cjui ndo hizo hizo!!!s4...bt huwezi Amini nikiweka mitandao mingine fresh ila eatel ndo hivyo ndo ni Kaambiwa mpaka niende.nikaenda wakafanya manually ndo ikakubali na niliwailuza wakasema ndo utaratibu wao. Ss cjui
  6. maria pia

    Nitamwachaje Huyu binti?

    km ulijua bado upo upo ulimtaka wa nn?...huu ndo ujing mwingine, kwahyo huyo ukimtenda unafikiri atawaonaje wanaume?wanaume wengine bana sijui wakoje
  7. maria pia

    Nitamwachaje Huyu binti?

    hapa ndo napoipendea jf. kwa kumbukumbu tu watu wapo makini
  8. maria pia

    Kupendwa na wengi,,chanzo cha upofu wa kuchagua mtu sahihi

    hiv kwann eti hii kitu inatokea? wakati upo single wala hawatokei eti.!!! aah yaan mtu unajikuta unakosa maaamuzi
  9. maria pia

    Kushinda kwenye PM

    Hahahaa Smile bana
  10. maria pia

    Mrembo wa jf

    Teh teh christine ibrahim unaitwa huku njoo ujibu.
  11. maria pia

    Mrembo wa jf

    Heheeee U again. ... No comment
  12. maria pia

    Filamu za Nigeria zilizotamba miaka hiyo

    6. Endless Love Dah, hapa Genevive Nnaji, pembeni Ramsey, dadadeki lazima ukae
  13. maria pia

    Diamond:mida hii Off to Zanzibar kwenye mazishi ya mzazi wa Wema...

    Hahahaa haaaa yaaani nimecheka Jf ni ile full laana
  14. maria pia

    IGP Mwema: Udhalilishwaji wa askari polisi huyu haukubaliki

    Kwa kweli mkuu Yaani noma sana. Waliopo makao makuu ndo naona wako poa kidogo . unless otherwise .....
Back
Top Bottom