Recent content by mallebo johnny

  1. M

    Waliopata mikopo HESLB 2014/15

    kaka wametoa kweli m nimewapigia chuoni wakasema bado hawajapata majina.na kuhu usajiri kuna jamaa yangu yupo hapo mwaka wa pili amesema first year wameambiwa wasubilie kwanza mpaka majina ya mkopo yatoke
  2. M

    Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

    kaka waliojua selection zao ni wale waliobahatika kuziona pale zilipo leak wiki iliopita.dah m mwenyewe bado in progres lakn naskia watu wanasema et katika zile coz tana kama ukikuta rangi nyeusi basi hujakizi vigezo lakn kama rangi ni ya blue basi umekizi mi hata sielewi labda na wewe umesikia...
  3. M

    Tujuzane status za account zetu TCU

    hapana ilikuwa ni land management and evaluation.lakn zingne zilizobaki zilikuwa ni education
  4. M

    Tujuzane status za account zetu TCU

    pole sna kaka kwa mkasa uliokukuta.mwaka jana ilinitokea case kama hii na nilikuwa jkt.nilitaman kufa lakn nikajaribu kuwasiliana na watu wa nyumbani wakawa wamenijazia second round coz ya sociology hapo mliman .dah sikuwa na jinsi ikabidi niende chuo ki ukweli maisha yalikuwa tait sana...
  5. M

    Naomba msaada, TCU profile inaonesha sikufanya application

    Mi mwenyewe course zangu nimeandikiwa procesed zote tano na kwa chini wakawa wameandika procesed succesful.you have been selected.ila nikajaribu kuclick sehem ya application nione kitatokea nn ndo yakaja maandish yanaxema not yet done application.nikajaribu kuangalia majina yote ya second...
  6. M

    Naomba msaada, TCU profile inaonesha sikufanya application

    inakuambia not yet done any application sielewi inamaana gan labda network error mkuu
  7. M

    Naomba msaada, TCU profile inaonesha sikufanya application

    pole sna kaka kwa mkasa uliokukuta ila mbona mm acaunt yangu normal kama zaman tu checking in progress sielewi
  8. M

    Majibu ya TCU bado hayajatoka?

    kaka mbona mm acaunt yangu nimeangalia muda huu ipo kama zaman tu.wewe wamekuandikia hujaapply urudie tena mbona sielewi
  9. M

    Majibu ya TCU bado hayajatoka?

    mkuu mbona sikuelewi kwan wameshatoa majina ya wanaotakiwa kurudia round ya pilia u vp
  10. M

    Majibu ya TCU bado hayajatoka?

    lazma majina ya waliokosea yatoke mapema ili walekebishe ili selection zije zitoke kwa pamoja.inaweza kuwa kweli kama mnavyojua muda umeisha na baadhi ya vyuo viko mbion kufunguliwa katikat mwa mwez huu na mwanzon mwa mwezi ujao
  11. M

    TCU wameongeza muda wa ku-apply chuo?

    sina uhakika na hizi taarifa ila na mm nimezisikia tu kama ni kweli basi tusubilie tu kwan mbali basi kesho tarehe 3 ni mwisho mwa wiki hii tu tutaona kwani njia ya waongo ni fupi sana.wahanga wa vyuo na mikopo tuwe na subira tu najua mmechoka sana kukaa nyumban toka mmlipomaliza form six.mm...
  12. M

    Nimepoteza dira, naombeni ushauri nifanyaje

    Pole sana kaka siku zote katika maisha mambo mazuri huwa hayaji kwa usiku mmoja tu. Mwenyezi Mungu huwa anapenda kumpima mtu kwa kumpatia mitihan migumu na mikubwa kabisa ambayo kwa maamuzi ya haraka haraka unaweza kumkufuru. Cha msingi we angalia fulsa nyingne tu kama umejaribu kuomba na...
  13. M

    Naomba kuuliza walioomba UDOM, BAEd(2014)

    kaka na point tano na nimeomba education udsm,udom,saut,duce,ruaha kipi kati ya hv naweza kupata
  14. M

    Naomba kuuliza walioomba UDOM, BAEd(2014)

    kweli kaka kabisa mwenyewe nimeingia jana nikakuta hvyo nikapanic .lakini nahsi mtandao utakuwa hujatulia tu.na kuhusu mkopo utakuwepo tu coz ni priority hyo
  15. M

    Tahadhari kama umechagua course hizi TCU

    miruzi mingi humpoteza mbwa kaka.kuwa na msimamo wakati unajaza haya yote si uliyafahamu
Back
Top Bottom