Recent content by Maganiko

  1. M

    Muziki wa Hip Hop bongo umetokea mbali-Tujikumbushe kidogo

    Deluxe ilishachoka sana siku hizi ila kwa enzi hizo ndo kilikuwa kiwanja kikubwa huku Mwanza, kwa sasa kuna kuna kiwanja kipya kinaitwa Rock Bottom Club, ipo underground katika jengo jipya la PPF Plaza opposite na Mwanza Hotel ndo huwa tunaenda hapo kupitisha muda tu. Pizzeria (Kuleana) bado ipo...
  2. M

    Muziki wa Hip Hop bongo umetokea mbali-Tujikumbushe kidogo

    Nakumbuka enzi hizo Dj Show ya Radio One ilikuwa unmissable kabisa, akikaa Sebastian Maganga, Mike Mhagama yaani ilikuwa show bomba mbaya! Nakumbuka baadaye Rankim Ramadna alikuja huku Mwanza, akatisha sana pale RFA ila tena akapotea. Siku hizi Dj shows za maredio mbwembwe nyingi bila substance...
  3. M

    Muziki wa Hip Hop bongo umetokea mbali-Tujikumbushe kidogo

    Duh Ritz bana, mi najua we ni gambaz pure! Kumbe kweli hata humu umo? Ni kweli Jontwa ni wa Mwanza pia alikuwa na jamaa mwingine muhaya akiitwa Rweyemamu (yeye alikuwa akijiita Rweyeman) wote wakiimba Ragga. Nakumbuka kama vile Jontwa aliperform katika show Beenie Man alipokuja Bongo in late...
  4. M

    Muziki wa Hip Hop bongo umetokea mbali-Tujikumbushe kidogo

    "...inapodunda redioni tega sikio kwa makini, upende usiipende take your way na mimi nadunda kama kid & play, kama hunipendi yoo kaa pande sitapenda wengi kama Maumba....ndindi ndindi ndindiiiiiiiiii x 2 ice ice ice baby...." Hiyo "ndindi ndindi ndindiiiiii" ni mdundo kwa ile instrumental yaani...
  5. M

    Muziki wa Hip Hop bongo umetokea mbali-Tujikumbushe kidogo

    Hapa Old Skool tu ndo tunaweza kuchangia, wengine wote wamekimbia! Umenikumbusha kina Jontwa Jokeri, Sos B na jembe lao Saleh Jabri - hasa ule mstari wa "...naruka kama ninja natua kama ndege airport...ice ice baby ice ice baby...ndi ndi ndi ndiiiiii..." Sio kina bong falva wa siku hizi!
  6. M

    Kumbe Hawa Ma-DJs ni ndugu.

    We jamaa unazidi kunishangaza...kumbe huku nako uko? Nilidhani wewe ni wa kwaya tu za T.O.T, John Komba etc!
  7. M

    Member gani wa JF ushakutana nae Face 2 Face

    Hivi nani alishakutana na Mwanakijiji? Pia huyu jamaa anaitwa Kiranga, sijui ndiyo huyo huyo Pundit? Manake wanafanana sana.
  8. M

    TAARIFA: Maandalizi ya Heshima za mwisho na Mazishi ya Mh Bob N. Makani

    Ritz, Ili kumtendea haki kwa kumkubali zaidi...do the obvious: Vua gamba vaa gwanda!
  9. M

    TAARIFA: Maandalizi ya Heshima za mwisho na Mazishi ya Mh Bob N. Makani

    Ritz hivi huwa unapumzika wewe kweli? By the way sometimes unaongeaga point...tatizo lako tu ni pale u-magamba unapokupofusha macho!
  10. M

    Kinyume na Ulaghai: Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliridhiwa na chombo halali cha Zanzibar!

    Sasa jamani kwani tabu nini? Kama hivi ndivyo mnavyoamini na ikiwa haya ndiyo maoni ya wazanzibari wengi, kwa nini basi msiliombe/petition Baraza la Wawakilishi na au Baraza la Mapinduzi kuhusu kuvunja muungano? Maana kwa mfano rahisi tu, kama ndoa iliyofungwa kihalali baada ya maridhiano ya...
  11. M

    Maandamano, mkutano wa CCM/Nape Njombe

    Jamaa wewe una roho ngumu kweli kweli, unajua kuitangaza CCM kwa sasa inakubidi uwe na moyo kama wa mwendawazimu...
  12. M

    Lema amjibu Kikwete, asema yupo tayari kwa lolote kuanzia sasa

    Yaani Kasheshe tangu nimeanza kusoma hoja zako katika uzi huu, hususani kwa kile Lema alichomjibu JK, mie mtu wa kawaida (kutokana na bandiko lako moja hapo juu), i find you more paradoxical and puzzling than i thought you were...anyway hii kwa kiasi kikubwa naamini inachangiwa na one's station...
  13. M

    Lema amjibu Kikwete, asema yupo tayari kwa lolote kuanzia sasa

    Na JK je? Anamuiga au yuko inspired na nani?
  14. M

    Lema amjibu Kikwete, asema yupo tayari kwa lolote kuanzia sasa

    Kasheshe, You of all the people inakuja na hoja dhaifu namna hii? watu wengi wa kawaida ni kina nani? JK anaongoza watu gani? Tu-assume kuwa hivi ndivyo hoja yako ilivyo, historia ina mifano mingi tu jinsi ambavyo watu wengi wa kawaida walivyoleta mapinduzi ya kimfumo ndani ya jamii. Ni watu wa...
  15. M

    CCM yaiteka Songea (picha)

    Naona kijana chama kinamlipa, kitambi kwa mbali na anakuwa maarufu kupita hata Mwenyekiti. Kijana jitahidi.
Back
Top Bottom