Recent content by mafundisho

  1. M

    Mkutano wa Rais Magufuli Kahama: James Lembeli aungana naye. Je, kurejea CCM?

    Katika hali inayoshangaza wapenzi na mashabiki wengi wa CHADEMA ni pale aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia CHADEMA ameonekana katika mkutano wa CCM unaoendelea hapa mjini Kahama. Wadadisi wa masuala ya kisiasa hapa Kahama wanadai kiongozi huyo aliyejizolea umashuhuri mkubwa enzi za uongozi wake...
  2. M

    Hatimaye Zitto Kabwe akaa meza moja na UKAWA

    Zitto kasababisha watu kama Mnyika kupotea kisiasa
  3. M

    Hatimaye Zitto Kabwe akaa meza moja na UKAWA

    Zitto kweli anahitaji pongezi japo watu kama kina Mnyika na Lissu wanateseka sana kwa ujio wake ukawa
  4. M

    Hatimaye Zitto Kabwe akaa meza moja na UKAWA

    Ukiwa ndo wameisha
  5. M

    Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    Kama kweli tunahitaji mabadiliko ni wakati wa kuwa na Magufuli kwa miaka zaidi ya 20
  6. M

    Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    Naunga mkono hoja, Magufuli anastahili
  7. M

    Hatimaye CHADEMA watambua rasmi ushindi wa Magufuli

    Ila jamaa wana vimsimamo vya kichovu, Ikulu wa kwanza kwa spidi hatari.
  8. M

    Hatimaye CHADEMA watambua rasmi ushindi wa Magufuli

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kupitia viongozi wake wamezidi kuudhihirishia umma wa Watanzania kuwa wanamtambua Rais Magufuli na wamezidi kupereka kero zao na malalamiko yao kwa Serikali ya Rais Magufuli. Kweli Demokrasia inazidi kupanuka, kama hawa ndio walikuwa wakwanza kupinga...
  9. M

    Sumaye kuwa Katibu Mkuu CHADEMA?

    Hatimaye vigogo wa chadema wapo katika maandalizi ya kumkabidhi nafasi ya ukatibu mkuu akiyekuwa Waziri mkuu awamu ya tatu. Wazee na watu muhimu ndani ya chama tayari wamepitisha jina la bwana Sumaye.
  10. M

    Siku ya UHURU wa Tanzania bara (9/12): Yaliyojiri maeneo mbalimbali kuhusu kufanya usafi

    Mshampigia kura, ndo ilikuwa shida yake, kufanya usafi sio level yake
  11. M

    Julius Mtatiro ageuka na kuwa Kigeugeu

    Dhana ya CCM kumsifia Mh.Rais kwa utendaji wake ulIotukuka..... Rafiki yangu Julius Mtatiro na Ukawa wanapotafuta Political credibility kwa utendaji wa Mh. Raisi Magufuli. Miezi michache iliyopita tilikusikia ukisema kuwa viongozi wa dini (hasa Wachungaji) wananuka njaa, kwa kitendo...
  12. M

    Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

    We kwenye kumbukuku yakooo wewe
Back
Top Bottom