Recent content by Lwama

  1. L

    Nampata wapi Dentist mzuri mjini.

    Nenda SMILES Clinic ipo karibu City bank
  2. L

    msaada kuhusu startimes

    Kama nataka kununua decorda hipi nichague kati ya hizi? STARTIMES, TING, DIGITEK naomba ushauri
  3. L

    Watangazaji wakali Tanzania upande wa radio!

    Uncle J.Nyaisanga
  4. L

    Watangazaji wakali Tanzania upande wa radio!

    Uncle J.Nyaisanga
  5. L

    Mayai ya kienyeji /vifaranga wa kienyeji

    Hayo mayai ya kienyeji unayo kiasi gani? Naweza kupata Tray 10?
  6. L

    Posho za wabunge: Kigwangala on January Makamba

    Huyu Kigwangala si mtu mwenye msimamo. Alikuwa mmoja wa waanzilishi wa Mgomo wa Madaktari pale Muhimbili. Wakati wenzake bado mametunisha msuli na Serikali ikionyesha dalili za kukubali matakwa ya madaktari yeye akaenda kumuangukia Sumaye na kuomba msamaha kwamba tuko chini ya miguu yake...
  7. L

    Zile kazi za ifakara health instittute vip jamani

    Kama wewe sio Mujahidin basi hapo kazi uwezi kupata. Labda ya kufagia
  8. L

    Efraim Kibonde amsafisha Rostam

    Kibonde anasumbuliwa na side effects za ARVs anazotumia kwa hiyo siyo makosa yake. Kuna siku atawatukana hata hao akina Kusaga na Ruge
  9. L

    Kigwangala Kadandia Treni kwa Mbele Hoja ya Kafulila

    Kigwangala ni mnafiki tu na hata uso wake unaonyesha. Ndio maana wakati wa ule mgomo alimuwa mtu wa kwanza kwenda kupiga magoti kwa Sumaye kuomba msamaha, na kusema yuko chini ya miguu ya Sumaye. Huyo jamaa hana jipya hapo bungeni ni kama wana magamba wengine.
  10. L

    totoo

    Najua jamaa nayepiga huyu binti
  11. L

    Kesi ya Uhaini Kipindi Cha Utawala wa Mwalimu Nyerere!!!

    Wewe ni Usalama wa Taifa nini???
Back
Top Bottom