Recent content by Lusambara

  1. L

    Mgomo wa Madaktari (Leo): Kiburi cha Blandina Nyoni

    :alien:habari ndiyo hiyo :alien:
  2. L

    ofisi za uhamiaji

    Ofisi za Uhamiaji Makao makuu ziko kurasini karibu na chuo cha Diplomasia au sekondari ya jitengemee. Nenda huko utaziona ndiko Jengo lao jipya lilipo, hazipo tena mjini
  3. L

    Kwa kauli hii, baraza la mawaziri linapashwa kujiuzuru

    Ndg zangu wana jf, nimefuatilia mjadala wa suala la jairo leo bungeni. Wabunge wengi wa chama tawala, wameishia kusema kwa hofu na kushindwa kuweka wazi tatizo lilipo hasa. Katibu mkuu kiongozi ambaye ni katibu wa baraza la mawaziri alikiri kwa kusema ‘suala la jairo kuchangisha fedha kwa...
  4. L

    Machali awaendesha puta wabunge wa CCM Bungeni!

    Mb Machali ameichana chana mswada wa katiba kwa upana, amesema... kama mswada utapitishwa basi damu ya watanzania itakuwa juu ya wabunge wa ccm wote kwani maoni ya watanzania wote walitaka mswada usomwe kwa mara ya kwanza. amesema hakutaka kutoka ili aweze kuwaeleza wabunge wa ccm kwa uwazi...
  5. L

    Nguvu ya umma yamtisha Kikwete

    kesho jk atakuwa iringa --- sijui kuna nini
  6. L

    Ccm maji shingo

    Kitendo cha CCM, chama ambacho ni kikongwe na ambacho miaka yote kimetawala nchi kutumia HELKOPITA 2 kwa ajili ya kampeni kinadhilirisha kuwa hali si shwari hata kidogo. Wananchi wa Igunga wengi wamechoshwa na hadi hewa za kila wakati hivyo hawana hamu tena ya kuona CCM inaendelea, ambao wako...
  7. L

    PICHA: CHADEMA 'wauteka' mji wa Arusha

    Asante saaaaaana kwa picha hizi
  8. L

    Tanzania yatoa msaada wa tani 300 Somalia

    Msaada ni mzuri sana pale ambapo watoto wako nyumbani hawana njaa. "MPENDE MWENZAKO KAMA UNAVYOJIPENDA MWENYEWE" Sasa kama TZ huwezi kuonyesha huruma kwa mikoa yenye njaa, hapo Mungu hawezi kukubaliana na utoaji huo kwani "UMETOA ILI UONEKANE NA WATU/MATAIFA, NA TAYARI UMEONEKANA NA PENGINE...
  9. L

    Ole sendeka aichana vilivyo hotuba ya bajeti ya Magufuli

    Jioni hii nimemsikia Mh. Ole Sendeka akisema wazi wazi kuwa sasa ni dhahiri Serikali ya CCM iko katika hatua za mwisho za kifo chake. Hilo limetokana na madai kuwa. Bajeti ya Ujenzi imejikita maeneo ambayo wanatoka viongozi na watendaji wakuu wa serikali na kuacha maeneno mengine ya nchi...
  10. L

    Kilango amwambia waziri kasema uongo!

    Nami nimejionea mwenyewe na Waziri kasema, Taarifa hizi ameambiwa na mkurungezi wake muda mfupi kabla ya kuingia mjengoni. Nashukuru Waziri kakiri kuwa yeye hawezi kupingana na mbunge wa sehemu husika ila baada ya bunge watakwenda wote kujionea uhalisia. Inaonekana MAJIBU YA MJENGONI MENGI NI...
  11. L

    Ezekiel Wenje awasha moto Bungeni

    Safi saaaana, Nami naunga mkono hoja "Organisation culture in any organization is strongly influenced by the personality of the CEO (i.e. Ministers, Secretaries, Police Officers, etc). The subordinate do and behave the same as what CEO in the organisation do and behave" Kwa hali hii...
  12. L

    Bila maandamano kwa tz, haki tusahau????

    Hayo yamesemwa leo ikiwa ni ulinganifu kati ya Wabunge wa CCM na CDM. Mbuge wa ILEMELA ametumia mifano hiyo kuonyesha utofauti uliopo. AMESEMA HAKI YAKE NA UBUNGE WAKE NI MATOKEO YA MAANDAMANO, HIVYO KWAKE MAANDAMANO NI BABA NA MAMA, KAMWE HAWEZI KUDHARAU MAANDAMANO
  13. L

    Tume ya ajira tanzania

    Tume haitaki lawama kwa mtu yoyote.
  14. L

    Bila maandamano kwa tz, haki tusahau????

    Ndg zangu wana JF, binafsi nakubaliana na wabunge wa CDM wanaosema kuwa maandamano ni lazima ili haki ipatikane. KUSEMA UWELI Kila mahali ambapo maandamano na migomo imefanyika, mabadiliko yametokea na kiasi fulani haki imepatikana. Jana niliangalia watoto wa S/M Minazi mrefu...
  15. L

    Bunge lawaka moto: Lissu, Msigwa na Lema watolewa nje!

    Kisa ni kitendo cha Naibu wa Spika kumpatia muda mrefu Lukuvi kuongea kuitetea serikali kuhusu na Hotuba ya Lema, Kambi ya upizani wamekataa kitendo hicho cha kupatiwa muda mrefu wakati si hotuba. Naibu wa spika ametumia kiti kuwatoa nje ya ukumbi kwa kazi za siku ya leo. Mambo yalikuwa magumu...
Back
Top Bottom