Recent content by Lupweko

  1. Lupweko

    Hamas: Israel watajuta kuvamia Rafah

    Wapalestina wataongezeka, lakini nje ya Gaza na West Bank, maybe Misri huko kama wataruhusiwa kuingia
  2. Lupweko

    Hamas: Israel watajuta kuvamia Rafah

    Unadhani Israel inatafuta mateka tena? Kama wapalestina na watekaji Hamas wenyewe hawana makazi maalum na chakula, mateka watapewa chakula gani? Israel inajua kabisa si rahisi kuwapata mateka wakiwa hai, ni kama imewa sucriffice, kwa sasa wamejielekeza zaidi kuwaeliminate au kuwapunguza kwa...
  3. Lupweko

    Kwa hili lililotokea leo kwenye mechi kati ya Simba na Tabora basi Tanzania na Africa hatuwezi kusonga mbele kwenye mpira

    na mpira ungeanza kati huenda Simba ingepata mabao mawili zaidi
  4. Lupweko

    TFF na Bodi ya ligi mlisema utafuatilia Rushwa kwenye michezo haswa kipindi hiki ligi ipo mwishoni. Je, mmeona goli walilonyimwa Tabora United?

    na Yanga nao wamo katika kuipigania ndio maana wanaitetea Tabora United
  5. Lupweko

    Naunga mkono hoja ya mbunge wa Ester Matiku, kunyimwa dhamana wa wabakaji

    Nani anayethibitisha kuwa ni wauaji?
  6. Lupweko

    Naunga mkono hoja ya mbunge wa Ester Matiku, kunyimwa dhamana wa wabakaji

    Sawa. Lakini sijajua kama umezingatia hilo neno WATUHUMIWA
  7. Lupweko

    Tetesi: Djuma Shabani kutua msimbazi kama mbadala wa Kapombe

    na wewe umeshaamini kuwa Lomalisa anaenda Simba?
  8. Lupweko

    Sabaya ni kiongozi imara mwenye uwezo wa kipekee

    Huyu kwenye picha ndio wewe unayeitwa Maftah?
  9. Lupweko

    FT: Simba 2-0 Mtibwa | NBC Premier League | Chamazi Stadium 03.05.2024

    Sawa, umejibatiza mwenyewe
  10. Lupweko

    Simba akipoteza mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa sugar siawaoni nafasi ya pili NBC PL

    Baada ya mechi muwe pia na utaratibu wa kuja kurekebisha mahesabu ya 'nabii' mnazozitoa. Unakuta jitu linaanzisha uzi mrefu halafu mechi ikiisha lina 'nyuti'
  11. Lupweko

    FT: Simba 2-0 Mtibwa | NBC Premier League | Chamazi Stadium 03.05.2024

    Nimebet huku, kuna goli la Saido plus kuna penati
  12. Lupweko

    Anaeangalia mechi za Simba nisipomkuta mbinguni narudi

    Daah, kweli mbwa mzee hajifunzi mbinu mpya!
Back
Top Bottom