Search results

  1. Lupweko

    FT: KVZ 0 - 2 Simba | Nusu Fainali Kombe la Muungano | Amani Stadium | 24/04/2024

    kumbe mnafuatilia kimya kimya kwa uchungu :D
  2. Lupweko

    FT: KVZ 0 - 2 Simba | Nusu Fainali Kombe la Muungano | Amani Stadium | 24/04/2024

    Kuumia ni popote, refer Azam walivyowaumiza Pacome na Yao
  3. Lupweko

    FT: KVZ 0 - 2 Simba | Nusu Fainali Kombe la Muungano | Amani Stadium | 24/04/2024

    nilidhani hamuyafuatilii, kumbe karoho kameshindwa kutulia
  4. Lupweko

    Hamas: Tunawashikilia maafisa 30 wa Israeli "Mahali salama

    Lengo la Israel ni kuwatokomeza Hamas. Lengo la Hamas ni kukomboa ardhi wanayodai ni ya kwao ila inakaliwa na Wayahudi. Sasa hapo nakuachia mwenyewe upime ni nani anaelekea kutimiza lengo lake baada ya miezi 7 uliyosema
  5. Lupweko

    Hamas: Tunawashikilia maafisa 30 wa Israeli "Mahali salama

    Hakuna mateka tena, walishafariki. Kama Hamas wenyewe hawana chakula wala makazi, watawapa mateka accomodation gani? Hata Israel inashambulia tu ikijua target ni kuwamaliza Hamas, na si kutafuta mateka
  6. Lupweko

    Ubaguzi ninaoupata Zanzibar, wakija Dar nitawapa haki yao

    Kwa hiyo afanye kazi huku akiwa amevaa headphones kubwa?
  7. Lupweko

    Hamas: Tunawashikilia maafisa 30 wa Israeli "Mahali salama

    Watawashikilia wapi wakati hawana tena mahali pa kukaa? Huko Misri hawataki kuona mpalestina yeyote anaingia, achilia mbali Hamas, maana wanawajua watawaletea machafuko
  8. Lupweko

    Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

    Mnata wa Jemedari Said 😁
  9. Lupweko

    Maajabu: Simba yaingia nusu fainali kibabe Kombe la Muungano

    Sawa, Lunyasi hawana baya, ila uwasiliane kwanza na utopolo kama nao watashiriki au watasema wamechoka
  10. Lupweko

    Maajabu: Simba yaingia nusu fainali kibabe Kombe la Muungano

    Hakuna aliyewakataza Yanga kushiriki. Kama Simba inatafutiwa kombe, basi Yanga ingeshiriki kuzuia Simba isilipate. Mashabiki wakati mwingine tuheshimu maamuzi ya viongozi wa timu zetu. Viongozi wa Yanga wameona si busara kujiingiza katika mashindano hayo, basi na mashabiki inabidi watulie...
  11. Lupweko

    Nahisi GSM na Hersi wana nia mbaya kwa mashabiki wa Simba. Ukweli wote huu hapa

    Utashindwa kuoa kwa matatizo ya kitabibu, usisingizie kuipenda Yanga
  12. Lupweko

    Ni wakati wa Musonda kuondoka Yanga

    Tulitaka tuachane na Mzize, ila tuliposikia Azam wanamuhitaji, tumeghairi, hatumuachi wala hatumuuzi 😁
  13. Lupweko

    Ahmed Ally anapitia magumu sana na timu yake

    Pole ya nini wakati mwenzio anaingiza pesa, wewe kutwa nzima unaweza ukapata abiria wawili wa taxi na bado barabara ni mbovu
  14. Lupweko

    Ligi ya Muungano kuanza kutimua vumbi Aprili 23, 2024

    Huwa sioni haja ya mtu kutoa maneno machafu wakati wa mijadala ya kawaida kabisa. Mpira ni pesa, wote unaosema wanachoka wanahitaji pesa. Nafasi ya pili haina maana kama haina pesa. Kumbuka mshiriki wa AFL alipata 5B+ kabla hajafanya chochote
  15. Lupweko

    Ligi ya Muungano kuanza kutimua vumbi Aprili 23, 2024

    Hata African Football League ni michuano ya kuteuliwa, lakini ndio michuano yenye pesa nyingi kwa washiriki kuliko michuano yote ya ngazi ya vilabu barani Afrika. Mpira ni biashara pia
  16. Lupweko

    Ligi ya Muungano kuanza kutimua vumbi Aprili 23, 2024

    Hilo ni suala la waandaaji, maybe hata Zanzibar zingetoka timu tatu. Mbona unabishana na waandaaji? Wao wanasema Yanga imekataa
  17. Lupweko

    Ligi ya Muungano kuanza kutimua vumbi Aprili 23, 2024

    https://www.mwanaspoti.co.tz/ms/soka/simba-azam-zajitosa-kombe-la-muungano-yanga-yachomoa--4594550
  18. Lupweko

    Ligi ya Muungano kuanza kutimua vumbi Aprili 23, 2024

    https://www.mwanaspoti.co.tz/ms/soka/simba-azam-zajitosa-kombe-la-muungano-yanga-yachomoa--4594550
  19. Lupweko

    Ligi ya Muungano kuanza kutimua vumbi Aprili 23, 2024

    https://www.mwanaspoti.co.tz/ms/soka/simba-azam-zajitosa-kombe-la-muungano-yanga-yachomoa--4594550
Back
Top Bottom