Kamanda umenikosha sana. Mimi ni mwalimu na balozi mzuri sana wa CHADEMA, maccm wananijua na walishanitafutia kesi ili nifukuzwe kazi, but baada ya dili kukwama wakanihamisha ili niwe nje ya mji. Bahati mbaya wamenipeleka sehemu ambayo kuna ccm sana so wamenipa kazi nyongine ya kuwabadilisha...
Hakika umenena sana. Tena ikiwezekana wangesema vijana wote chini ya miaka 35 ambao hawakupiyia jeshi twende kabla ya uchaguzi ili mwakani tuweze kukabiliana na polisi wakati wa kulinda kura zetu.
CHADEMA 2015 IKULU
Mbona unacomplain? Hapa ni kueleweshana, na si kubishana, mabishano yapo jukwaa la siasa. Nimekuambia UDOM wote ni form four tu.
Kama alimaliza form six na ameomba kwa cheti cha form four, utamhesabu mi form six, na mpaka utumie cheti cha form four wakati wewe ni form six maana yake ni form six...
Kwanza nikurekebishe kidogo, wanaoenda UDOM siyo advanced diploma, bali ni diploma ya kawaida na waliochaguliwa ni wale wa form four tu.
Wale walioomba kupitia wizara ya elimu kwa form four wote wamepangwa dipoloma ya elimu ya awali na msingi na wale form sx wamepangwa advanced diploma katika...
nashauri makamanda nchi nzima tiwaweke polisi kwenye attention ya kuzuia maandamano nchi zima na kila siku.
Hii itafanya wasifanye kazi nyingine yeyote ile kwa muda mrefu. Na iwapo wakilegea kidogo tu sisi barabarani.
Makamnda nchi hii kila ni yetu sote na tuipiganie mpaka kieleweke.
WATAENDA ILA SIYO SASA KWANI NAFASI NDOGO, HATA DIPLOMA AWAMU HII WANAENDA WACHACHE. Awamu ya pili mwezi desemba wataenda diploma waloibaki na degree graduates
Uchaguzi wa ndani wa Baraza la Vijana wa Chadema ( BAVICHA) unaoneshwa moja kwa moja kupitia kituo bora kabisa cha ITV kuanzia saa tano na Kuendelea.
Ahsanteni kwa kutuonesha demoktasia ikichukua nafasi.
TANZANIA BILA CCM ITAKUWA BORA SANA
Bonyeza hapa chini kumsikiliza Mwenyekiti wa...
Ukweli ni kwa wizara imeshatoa majona ya walioomba ualimu ngazi ya cheti na stashahada,
Isipokuwa sasa kuna mabadiliko makubwa ambayo wengine yanawachanganya wanashindwa kuelewa. Ufafanuzi kama ifuatavyo
Ualimu ngazi ya cheti imefutwa kabisa na bafala yake kuna diploma ya kawaifa ya elimu ya...
Kwa waliochaguliwa kozi tajwa hapo juu mnatakiwa kuomba mkopo bodi ya mikopo haraka sana, hii kwa wale wa masomo ya sayansi na hisabati tu.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 10/9/2014
Kumbuka kuwa mtasoma kwa mfumo wa chuo kikuu kwa miaka mitatu, ada ni laki sita na chakula mtajitegemea...
Usipotoshe au kutoa matumaini kwa kitu ambacho hakipo, majina yaliyotoka ni kwa walioomba wizarani, na kama jina la mtu halipo basi ndiyo amekosa nafasi, na hii inawachanganya sana watu kwa kuwa wamefuta grade A na kuanzisha diploma ya elimu ya awali na msingi na pia wameanzisha diploma ya juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.