Search results

  1. L

    Walimu wengi ni mabalozi wa CHADEMA shuleni

    Kamanda umenikosha sana. Mimi ni mwalimu na balozi mzuri sana wa CHADEMA, maccm wananijua na walishanitafutia kesi ili nifukuzwe kazi, but baada ya dili kukwama wakanihamisha ili niwe nje ya mji. Bahati mbaya wamenipeleka sehemu ambayo kuna ccm sana so wamenipa kazi nyongine ya kuwabadilisha...
  2. L

    Selection UDSM 2014/2015

    Andika jina kamili, achana na namba,
  3. L

    Kwa wanaohitimu kidato cha sita ualimu na udaktari jeshi ni miezi sita badala ya mitatu

    Hakika umenena sana. Tena ikiwezekana wangesema vijana wote chini ya miaka 35 ambao hawakupiyia jeshi twende kabla ya uchaguzi ili mwakani tuweze kukabiliana na polisi wakati wa kulinda kura zetu. CHADEMA 2015 IKULU
  4. L

    MoEVT, NACTE, HESLB na UDOM tunaomba ufafanuzi

    Mbona unacomplain? Hapa ni kueleweshana, na si kubishana, mabishano yapo jukwaa la siasa. Nimekuambia UDOM wote ni form four tu. Kama alimaliza form six na ameomba kwa cheti cha form four, utamhesabu mi form six, na mpaka utumie cheti cha form four wakati wewe ni form six maana yake ni form six...
  5. L

    MoEVT, NACTE, HESLB na UDOM tunaomba ufafanuzi

    Kwanza nikurekebishe kidogo, wanaoenda UDOM siyo advanced diploma, bali ni diploma ya kawaida na waliochaguliwa ni wale wa form four tu. Wale walioomba kupitia wizara ya elimu kwa form four wote wamepangwa dipoloma ya elimu ya awali na msingi na wale form sx wamepangwa advanced diploma katika...
  6. L

    Jeshi la polisi Dodoma lazuia maandamano ya CHADEMA yaliyopangwa kufanyika leo Septemba 18

    nashauri makamanda nchi nzima tiwaweke polisi kwenye attention ya kuzuia maandamano nchi zima na kila siku. Hii itafanya wasifanye kazi nyingine yeyote ile kwa muda mrefu. Na iwapo wakilegea kidogo tu sisi barabarani. Makamnda nchi hii kila ni yetu sote na tuipiganie mpaka kieleweke.
  7. L

    Kuhusu walimu wahitimu vyuo vikuu kwenda JKT

    WATAENDA ILA SIYO SASA KWANI NAFASI NDOGO, HATA DIPLOMA AWAMU HII WANAENDA WACHACHE. Awamu ya pili mwezi desemba wataenda diploma waloibaki na degree graduates
  8. L

    Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Viongozi wa BAVICHA Taifa - Mlimani City, Dar

    kaa kwenye tv yako sasa iko live itv
  9. L

    Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Viongozi wa BAVICHA Taifa - Mlimani City, Dar

    Uchaguzi wa ndani wa Baraza la Vijana wa Chadema ( BAVICHA) unaoneshwa moja kwa moja kupitia kituo bora kabisa cha ITV kuanzia saa tano na Kuendelea. Ahsanteni kwa kutuonesha demoktasia ikichukua nafasi. TANZANIA BILA CCM ITAKUWA BORA SANA Bonyeza hapa chini kumsikiliza Mwenyekiti wa...
  10. L

    Mafunzo maalumu ya ualimu kidato cha nne mbona kimya?

    Ukweli ni kwa wizara imeshatoa majona ya walioomba ualimu ngazi ya cheti na stashahada, Isipokuwa sasa kuna mabadiliko makubwa ambayo wengine yanawachanganya wanashindwa kuelewa. Ufafanuzi kama ifuatavyo Ualimu ngazi ya cheti imefutwa kabisa na bafala yake kuna diploma ya kawaifa ya elimu ya...
  11. L

    Je! University of Iringa ni chuo kizuri kitaaluma ?

    Umekosa vyuo? Iringa University ndo chuo gani? Pole sana kwa kwenda hicho chuo, Pale kusoma hiari na kufaulu lazima.
  12. L

    Taarifa kwa wale Waliochaguliwa Stashahada ya Juu ya Ualimu

    Kwa waliochaguliwa kozi tajwa hapo juu mnatakiwa kuomba mkopo bodi ya mikopo haraka sana, hii kwa wale wa masomo ya sayansi na hisabati tu. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 10/9/2014 Kumbuka kuwa mtasoma kwa mfumo wa chuo kikuu kwa miaka mitatu, ada ni laki sita na chakula mtajitegemea...
  13. L

    Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

    Kama una whatsapp nipe namba yako nikutumie majina yote ujianglizie mwenyewe, ila simu yako iwe na adobe reader 0655817116
  14. L

    Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

    Usipotoshe au kutoa matumaini kwa kitu ambacho hakipo, majina yaliyotoka ni kwa walioomba wizarani, na kama jina la mtu halipo basi ndiyo amekosa nafasi, na hii inawachanganya sana watu kwa kuwa wamefuta grade A na kuanzisha diploma ya elimu ya awali na msingi na pia wameanzisha diploma ya juu...
  15. L

    Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

    Angalia diploma ya.elimu ya awali kama.umekosa elimu ya msingi, wengi.wamepangwa elimi ya awali, kama vp nicheck kwa 0655817116 faster nitakuinform
  16. L

    Sijachaguliwa kujiunga na chuo, inaniuma sana

    Usibishe tu, nasema kwa kuwa ninajua. Hovyo vyuo ulivyotaja vinachukua diploma ya elimu ya awali na hawatachukua elimi ya msingi. Angalia vizuri utaona elimi ya msingi wamechukua watu mia tisa na elimu y awali wamechukua elfu tisa. Na hiyo imetokana na lupatikana watu wachache wenye soga kwani...
  17. L

    Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

    Serikali jana imetoa majina ya waliochaguliwa kujiunga mafunzo ya ualimu na kuna mabadiliko makubwa sana. Mabadiliko hayo ni pamoja na Imefuta ualimu ngazi ya cheti, Imefuta ualimu ngazi ya diploma kwa masomo ya sanaa (arts) Imeanzisha diploma ya elimu ya msingi na awali, Imeanzisha diploma...
  18. L

    Sijachaguliwa kujiunga na chuo, inaniuma sana

    Majina yametoka tayari na serikali imefuta ualimu ngazi ya cheti, badala yake wameanzisha diploma ya elimu ya msingi, na sifa uwe na divishen 3. Kama huna huna kachunge mbuzi au kakimbizane na mgambo
  19. L

    Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga

    Kikwete na serikali yako, maisha yenu hapa duniani ni mafupi sana. ila mna safari ndefu sana huko akhera? RAIS DHAIFU JAKAYA KIKWETE, utajibu nini kwa MUNGU wako siku y kiyama?
  20. L

    Musoma: CHADEMA yawafukuza Madiwani wawili Uanachama

    Chadema ni chama makini na safi hatutakt uchafu fagia woooote
Back
Top Bottom