Recent content by Lukundo

  1. L

    Tangazo Maalum: Mradi wa Kazi Majuu!

    kumbe jamii forum kuan wezi. hii ni old school material au ishu ile ya wizi wa tanzaniapostal na stamp collection. Ufisadi tanzania hauta isha.
  2. L

    Mmemsikia Kikwete......?!

    jamani kwani ulaya wanafanya nini ukisababisha ajari mara tau. wanakunyanganya leseni ambayo ni ghali sana kuipata, uanrudi chuo kuisotea tena wakiwa na maanaa kuwa inawezekana ukawa hujafahamu baadhi ya sheria. hiyo itapunguza sana ajari. tusichanganye makosa, na kusema kwa sababu kosa fulani...
  3. L

    Huwa mnamsoma Ulimwengu?

    namkubali sana ulimwengu, lakini huwa natatizwa naye anapokuwa kigeugeu. kwa waliomsoma kipindi kile katika rai, baada ya kikwete kuingia madarakani, wataona kama nyoka anayefahamu mambo mengi sana, lakini asiyejua ashikilie lipi moja. yafuteni makala ya jina la BARUA KWA KIKWETE. HATA HIVYO...
  4. L

    Afikishwa Mahakamani Kwa Kusambaza Picha za Mwanamke Akizaa

    huyu kudhitskiwa itakuwa nzuri sana, kwani inategemeana picha hizo alizipiga kwa mwelekeo hani. kama alionyesha uke, ambazo nafikiri zipo hivyo, ndo maana wanaziita picha za ngono, maana yake alionyesha uke wa mama mzazi ambayo ni kitendo cha kinyama, bila kujari justification ya sababu yake- na...
  5. L

    Sitta awashukia maadui wake: Amwita mmoja "Mhalifu sugu"!

    Game theory nafikiri unamatatizo. tofauti na thread zako, michango yako mingi upo negative, kwa kutumia hata vyanzo ambavyo haviaminiki kama ulichotaja juu, Taifa letu, ilimradi tu, ukosoe kwa nguvu. nchi haijengwi hivyo, wala roho mbaya haijengi. naamini kama wewe ni mwajiri ,sehemu basi...
  6. L

    Hatuna Forensic Science digrii/diploma Tz?

    forensic ni kitengo special ndani ya serikali, ambacho sio kwamba kinatolewa kama njugu vyuoni, kwani kama sio tu kwamba kina deal na criminal ishu ,kuna mambo mengine tu kinaungwa nayo. ukisoma pale muhimbili udaktari, miongoni mwa masomo ni forensic medicine mwaka wa nne, na naweza kusema...
  7. L

    Kijana Kabila kathubutu, Kikwete anaweza!

    Wakati zikiwapo tuhuma nyingi kwa serikali ya raisi kikwete kuhusiana na ufisadi ,sasa katika kila wizara, Rais anaonekana kuwa mgumu kuagiza uwajibikaji wa watuhumiwa au hata viongozi wanaobeba dhamana ya mapungufu hayo. JE, kama mwezetu kijana NCHI JIRANI TU, japo ya kukabiliwa na matatizo ya...
  8. L

    Kijana Kabila kathubutu, Kikwete anaweza!

    Kabila awafuta kazi maafisa wakuu Imeandikwa na Mwandishi wa BBC. Rais wa Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo - DRC, Joseph Kabila amewafuta kazi zaidi ya maafisa 80 wa serikali wanaolaumiwa kwa ufisadi. Rais Kabila pia ameagiza kustaafishwa kwa...
  9. L

    Museveni, Kikwete disagree on exports

    tafadhari eleweni mambo, hiyo taarifa haijakamilika. ni kwamba wakati agriproduct za ulaya serikali zao zinatia mkono kwa wakulima wake, mashart ya World bank na IMF ni kwamba nchi za afrika zisifidie wananchi na wakulima wao. ndo maana hakuna pesa inayoenda kwa wakulima kwa uzalishaji, sasa...
  10. L

    NBC Bank hawana maana kabisa

    Mnataka kucheza mduara sasa, kumbukeni benki zilizo na akili bongo zinamilikiwa karibu na mtu mmoja. Kama atc inavyokufa kunufaisha shirika fulani la ndege ndo general tyre, reli, na hata nbc. Kumbuka pia nbc ipo owned na absa, na hii absa ipo ina hisa standard chatered na stanibic. Na hii absa...
  11. L

    Ephraim Mrema na Ufisadi TANROADS

    tutendelea kula nyasi wana JF, kwani bado tunaongea sana na kutoa majibu rahisi kwa maswali magumu. Tatizo lipo katika kuwajibishana, tusisahau kuwa TANROAD ni agence ya serikali, na serikali haina mkono wake moja kwa moja kiuwajibishanaji, so kazi ipo kweli. INANIUMA SANA, NIKIFIKIRIA, HUWAGA...
  12. L

    Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

    kama ni ujumbe kwa spika Sita, umefika hasa, na kwa kawaida ukweli huuma. lazima aseme ishu zile za nyumba, gari katika wakati huu wa uchumi mbovu. ni kweli kuwa pia amefanya mambo fulani, lakini hakuna mtu mbaya kama mnafiki, anayeuma na kupuliza kwa style ya spika. kama ni usafi anatakiwa awe...
  13. L

    Changia Mzumbe Onesha Uspecial wako!

    wizi mtupu. uspecial ule wa kukariri. wazumbe, wairiboru, watb boys, na wakilakala, inawezekana kweli walikuwa wazuri kwa mitihani ile ya marudio ya sekondari zetu za tanzania, lakini fuatilia maendeleo yao vyouni ambapo hapakuwa na uspecial, utalia. hata hivyo mtakuwa wachache sana hapa jf...
  14. L

    Masoud Kipanya is wrong about SUA

    wote hapo juu hamukumwelewa masood alimaanisha nini. Mnataka kusema graduate kukaa counter pale ni sawa. kuajiliwa benki haina tatizo, tatizo ni graduate kuwa benk teller, mtoa pesa dirishani, kazi ile ambayo qualification requirement huhitaji form six leaver.hakumaanisha kuwadhalilisha, bali...
  15. L

    Atupwa lupango kwa kudai Mwinyi, Mkapa wameuza nchi!

    Je inawezekana huyu akawa ameandaliwa zengwe, au akwa chizi fulani anayetafuta populality, au ndo watu wale wanaoona wanyonge wanadhulumiwa haki na kuamua kujitoa muhanga, lakini baadaye wanakutana na tawala dhalimu zinazosema tupo huru, lakini kimantiki tukiwa watumwa katika nchi zetu wenyewe.
Back
Top Bottom