Kwa Kiingereza Kakakuona anaitwa Pangolins, Ni mnyama mwenye mwili ulio zungukwa na magambana chakula chake kikuu ni mchwa (ant eater), na hupatikana karibu au kwenye vichuguu na kipindi cha ukame huranda sana kutafuta vichuguu ili apate chakula.
Mwili wa kakakuona umefunikwa na magamba magumu...
Imire safari ranch is the Black rhino breeding station in zimbabwe. the animal from this center are translocated to different protected area in africa eg Tanzania where these animal are almost extinct.
Lets protect these animals freedom fighter lets give something else better than this animal...
IMIRE SAFARI RANCH INVADED
Many of you will be familiar with Imire Safari Ranch from our reports about the orphaned baby rhino, Tatenda, the warthog, Hogwash, the hyena, Tsotsi and the elephant who thinks she is a buffalo, Nzou.
Many years ago, Imire Safari Ranch was designated by...
Hivi hawa jamaa wa TFF wanamaanisha nini?? kaijage ni msemaje wa yale leodger na Mwakalebela wanayo amua hii kauli ni kweli au kajitoa kimasomaso kufuta aibu???
Kauli ya leo toka kwa Leodger Chilla Tenga kila mchezaji wa Stars, atakuwa anaondoka na jezi atakayoitumia kwenye kila mchezo hata kama atakuwa ni mchezaji wa akiba.
Hawa ndio wawekezaji wetu, ambao hata huko kwao hawana uwezo wa kupata kazi huku kwetu ni waheshimiwa.
Naomba wananchi tuseme hapana... hapana.. Hii thread naomaba uendelee kutupasha nini kinajiri.
Naomba mwenyezi mungu atujalie subira ili jambo hili lifanyiwe kazi.
KICHAA CHA MBWA
Ugonjwa hatari unaopuuzwa sana hasa katika nchi masikini. Ugonjwa huu pia unatatizo la kutotolewa taarifa kamili. kwa nchi kama Tanzania ugonjwa huu unaonekana kama kaugonjwa kadogo sana. unaua zaidi ya kipindupindu, unaua karibu ya HIV. Ugonjwa huu unaua zaidi nguvu kazi maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.