Wakuu naomba msaada wenu juu ya magodoro ni wapi ntapata godoro zuri original hapa dar.
Ama ni godoro aina gani ndiyo zuri lenye ubora .
Nilipokuwa mkoani nilikuwa natumia godoro la dodoma na lilikuwa bomba sana mpaka sasa nikirudi nalikuta lipo poowa sana.
Ila kwa hapa dar nishanunua mara...
Mi bado sijakuelewa unataka ushauri gan sasa.
Mtu anayekusumbua unamjua na wewe hutaki usumbufu so siumchukulie mwendo sasa.
Kama vip iblock hiyo namba.
Ukitaka ushauriwe vizuri na wanajamvi funguka vizuri anakusumbua je?
Kivipi?.
hakuna cha kushangaa hapa wao wanatumia uwendawazim wetu kufanya mambo haya ya ajabu.
Ikiwa viongozi wetu na mafisadi wakiumwa kidogo tu mbio india hata mafua tu wanakimbilia huko na huku hapa tz kuna wataalam kibao.
Ndiyo mana viongozi wetu wanakimbilia india kutibiwa hawathubutu...
Bado soggy naye kupata haki yake maana nasikia walimtoa kwenye station 1 huko mwanza alikokuwa anafanya kazi akaahidiwa kupewa shavu clauds kuja huku wakampotezea.
Jamaa anahasila nao sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.