Me nahic pale udom, kuna gamba moja wasipoamua kulitoa bac matatizo hayatokwisha, na ipo cku wa2 watachinjana! Matatizo yote ya chuo anasababisha huyu jamaa( MLACHA)
Polic hapo walikuwa wanatekeleza wajibu wao, kwan dodoma wapo strict sana na hiz nyumba za kulala wagen, cc 2likuwa wa3 jinsia moja 2kataka rum moja walikataa katakata wakasema mwisho kulala ni wawil tena wanatakiwa wawe jinsia tofauti ndivyo sheria inavyosema na huwa polic wanapita ucku...
Unadhani jamii itakuelewa ktk hili? Nazungumzia hapo unaposema kuwa wanawake walio ktk ndoa zao waelimishwe juu ya ubakaji huu ambao kimsingi bado haijafahamika ktk fikra za wengi kuwa ni ubakaji!
Dah..pole sana mpendwa, bt nampa big-up jamaa maana anaonekana ni mkweli coz kwa kitendo 2 cha kukwambia i ve someone ni cha kiuungwana rather thn angekudanganya! U 've not lost coz the guy woz not prepared 4u bt ther iz sum1 4u sticky around!
<br />
<br />
2cwe wanafiki either kwa kukaa kimya au kumcfia m2 hata pale anapokosea coz 2takuwa ha2jengi bali 2nabomoa! Mapungufu yapo ha2katai bt ths iz too much bwana..ucpopata muda wa kukaa nyumban kwako wadhan utajuaje matatizo ya familia yako? We nchi ipo vitani rais yupo disco? Kweli...
<br />
<br />
i lyk ur comments gal, logicaly it seems u ve something on ur mind..bt nahic kuna wa2 wanaweza wakawa wanakuelewa tofaut au hawakuelewi kabisa coz u based on facts na hufungaman na upande wowote kwa maslahi yoyote" binafsi hapo mwanzo nilikuwa ckuelewi sasa nakuwa kama nakuelewa...
Me naona imefikia mahali 2kubaliane kwa pamoja kuwa serikali iliyopo madarakan imeshindwa kutekeleza majukum yake, coz inapofikia mahal ukaona ktk uongoz wako migomo ya mara kwa mara haish bac kimsingi ujue umeshindwa kutekeleza majukum yako! Leo hii mpaka watoto wa shule ya msing wanagoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.