Search results

  1. K

    Prof. KIKULA atoa mpya

    Me nahic pale udom, kuna gamba moja wasipoamua kulitoa bac matatizo hayatokwisha, na ipo cku wa2 watachinjana! Matatizo yote ya chuo anasababisha huyu jamaa( MLACHA)
  2. K

    Wachina nusura kuuwawa leo!!

    Wacha wapigwe, washazid hao jamaa, yaan hii nchi wamefanya kama ya kwao, sasa kwakuwa walijifanya sheria mkonon acha wafundishwe adabu.. lol
  3. K

    Raisi Kikwete umesoma hili bango uwanja wa ndege wa Kigoma ama ndio vip mpka ufe?

    mkuu ukishindwa kuwa makini kwenye minor things kamwe huwez kuwa makin kwenye masuala ya mcngi au serious issues kama unavyosema
  4. K

    Wanafunzi 8 wa chuo jinsia tofauti wakutwa guest chumba kimoja

    Polic hapo walikuwa wanatekeleza wajibu wao, kwan dodoma wapo strict sana na hiz nyumba za kulala wagen, cc 2likuwa wa3 jinsia moja 2kataka rum moja walikataa katakata wakasema mwisho kulala ni wawil tena wanatakiwa wawe jinsia tofauti ndivyo sheria inavyosema na huwa polic wanapita ucku...
  5. K

    Maajabu !! Jamani huyu shemeji yangu ni vipi?

    Maombi yanahitajika, kwan tayar kuna pepo mchafu sana keshamwingia!
  6. K

    ‘Geuka huku’ sio kubaka kweli?

    Unadhani jamii itakuelewa ktk hili? Nazungumzia hapo unaposema kuwa wanawake walio ktk ndoa zao waelimishwe juu ya ubakaji huu ambao kimsingi bado haijafahamika ktk fikra za wengi kuwa ni ubakaji!
  7. K

    Ninayempenda Nisiyemjua Kanitolea Nje

    Dah..pole sana mpendwa, bt nampa big-up jamaa maana anaonekana ni mkweli coz kwa kitendo 2 cha kukwambia i ve someone ni cha kiuungwana rather thn angekudanganya! U 've not lost coz the guy woz not prepared 4u bt ther iz sum1 4u sticky around!
  8. K

    Ni kheri arudi urais Benjamin Mkapa kuliko uongozi wa Jakaya Kikwete: What does that tell us?

    <br /> <br /> 2cwe wanafiki either kwa kukaa kimya au kumcfia m2 hata pale anapokosea coz 2takuwa ha2jengi bali 2nabomoa! Mapungufu yapo ha2katai bt ths iz too much bwana..ucpopata muda wa kukaa nyumban kwako wadhan utajuaje matatizo ya familia yako? We nchi ipo vitani rais yupo disco? Kweli...
  9. K

    Ni kheri arudi urais Benjamin Mkapa kuliko uongozi wa Jakaya Kikwete: What does that tell us?

    <br /> <br /> i lyk ur comments gal, logicaly it seems u ve something on ur mind..bt nahic kuna wa2 wanaweza wakawa wanakuelewa tofaut au hawakuelewi kabisa coz u based on facts na hufungaman na upande wowote kwa maslahi yoyote" binafsi hapo mwanzo nilikuwa ckuelewi sasa nakuwa kama nakuelewa...
  10. K

    Hemed awaangukia mashabiki lakini.......

    Samahanini wakuu kwani mshindi alikuwa nani vile?
  11. K

    Kuzaa/kuzaliwa mtoto handsome au beautiful

    Kwani ww ni handsome au beautiful?..n wot abt ur origin ni lishe au nature ya wazaz? Jibu sasa..lol?
  12. K

    Ni kheri arudi urais Benjamin Mkapa kuliko uongozi wa Jakaya Kikwete: What does that tell us?

    Me naona imefikia mahali 2kubaliane kwa pamoja kuwa serikali iliyopo madarakan imeshindwa kutekeleza majukum yake, coz inapofikia mahal ukaona ktk uongoz wako migomo ya mara kwa mara haish bac kimsingi ujue umeshindwa kutekeleza majukum yako! Leo hii mpaka watoto wa shule ya msing wanagoma...
  13. K

    Wataalam wa namba....

    Mbona jibu nilitoa kitambo wajemeni?? Naona ze ppo karudia nilichokuwa nimekisema mm, bt c mbaya hilo ndio jibu!
  14. K

    NIMUOKOE NANI? (Swali kwa wanaume tu)

    Bora niokoe mke maana hata huyo mtoto yawezekana co wako, so bora nichukue ubavu wangu maana niliapa kuwa ntaambatana nae kwenye shida na raha, maradh na uzima hata kifo ki2tenganishe ss iweje leo nimwache?
  15. K

    Wataalam wa namba....

    Hio sh1 unayoitaka ni ipi mkulu?..deni ni sh98 baada ya kurudisha sh2, amespend sh97 na mkonon tayar ana sh1 so ma2mizi+alichonacho=deni(97+1=98) lete maswal mengine!
  16. K

    Wataalam wa namba....

    Sor me napita tu nahic mada hainihusu!
  17. K

    Wana JF, mnajua maana ya neno 'lol'?

    Nashukuru wapendwa kwan hata me mmenitoa tongotongo usoni, bt da question iz 'hapo kwenye 'lol' bado cjapata tafsiri stahiki maana mmoja kasema laugh out louder mwingine katoa maana zaid ya moja ikiwemo non-sense, so wot da ril meaning iz?
  18. K

    Ni kheri arudi urais Benjamin Mkapa kuliko uongozi wa Jakaya Kikwete: What does that tell us?

    Ashadii hapa changes unazojaribu kuzungumzia ni zp, kwenda mbele au kurudi nyuma? Kupunguza income gap kat ya mwananchi wa kipato cha chin na high income earners au kuongeza gap? Binafsi naona heri mkapa kwanza ndiye raic aliyetoa speech kal kwenye mkutano wa G8 uliopelekea Tz kusamehewa maden...
Back
Top Bottom