Recent content by KRISTIAN P

  1. KRISTIAN P

    Nataka kujenga Kigamboni, ushauri tafadhali

    Nenda maeneo ya Lugwadu
  2. KRISTIAN P

    Nataka kununua kiwanja, ila kwanini viwanja vya Chanika ni bei rahisi hivyo?

    Acha kutisha watu tumechukua juzi Kigamboni Lugwadu biashara imeenda poa tu.
  3. KRISTIAN P

    Natafuta kiwanja Dar es Salaam, offer yangu milioni 3

    Maeneo ya Pugu Kigogo fresh unapata kiwanja kwa mil 3
  4. KRISTIAN P

    Car4Sale Jipatie magari mazuri kwa bei ya mmiliki

    [emoji91][emoji91]
  5. KRISTIAN P

    Nauza pikipiki mpya automatic transmission bei nzuri

    Soma tangazo vzuri bei kaweka
  6. KRISTIAN P

    Ninatoa Icloud kwenye simu za Iphone

    Raphael Rapper
  7. KRISTIAN P

    Jipatie Meza za kitamaduni 35000

    Kazi nzuri big up
  8. KRISTIAN P

    Pata mkopo kuanzia 1m mpaka 2m ndani ya dk. 30 kwa dhamana ya gari tu!

    Kama unajijua una uhakika wa kurudisha pesa unaenda kukopa pesa ya nini si bora ukaushe pigana na hali yako,ukienda kukopa ukashindwa kurejesha pesa kwa muhusika nazani kifatacho umesha kijua.
  9. KRISTIAN P

    Scarfs na mikoba ya shanga inauzwa

    Bei gan Scarf!?
  10. KRISTIAN P

    Kiwanja kinauzwa kinzudi,usukumani Goba bei 13milion

    Kiwanja kinaonekana kizuri ila tatizo ni bei ya mkaa
  11. KRISTIAN P

    Viti vya plastic vinapatikana

    nataka pc kama 4 chukua elfu 15 kwa kila pc. Kama upo tayari ni pm
  12. KRISTIAN P

    INAUZWA Vifaa vya kurekodi muziki

    mpe mwenzio maelekezo mazuri usije muingiza mkenge mil 2 umekamilisha studio labda ujenge chumbani kwako
  13. KRISTIAN P

    Napangisha Nyumba Manzese Midizini TipTop

    Chumba,sebule na choo cha nje utakacho tumia peke yako ushei na wapangaji wengine pia una sehemu yako pekee ya kuanika nguo. Eneo Manzese Midizini TipTop,kodi kwa mwezi 130,000. Mawasiliano +255 713 137 654 pia unaweza kunichek watsapp kwa namba hii +255716397048
Back
Top Bottom