Je X-mass ni sherehe za kuzaliwa yesu kristo ? Nielewavyo gregorian calenda ilianza pale yesu alipozaliwa yaani tareh 01-januari - 01. Sasa ninapoambiwa tunasherehekea kuzaliwa yesu tar 25 -Dec, inachanganya kidogo.[au tarehe kamili ya kuzaliwa yesu haifahamiki ?] Wapendwa naomba msaada hapo na...
mandela yupo juu bwana alikuwa sio mtu wa visasi, kama jk
. uliza wenzake waliopigania uhuru na jk aliishia wapi eg kina kambona kina bibi titi na wengineo wengi.
mandela aliwasamehe woote hata waliomfunga jela,
Wewe mtuma hii post u mshenzi, huo msikiti mdio msikiti wangu, mbona hizo harakati sijaziona au wewe ulitaka uone watu wakiswali na kuondoka bila ya vikao vya utendaji ? Kama unaona huelewi hama eneo hilo ,,,.......:..........................*¥
SAMUEL SITA AMEJIANDAA KUGOMBEA URAIS WA TZ, SASA NYIE MWASEMA AGOMBEE URAIS WA TANGANYIKA ? mNATAKA KUMPUNGUZIA ULAJI MZEE ??????// TANGANYIKA HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE ?...........................................HOOOOOYEEEEEEEEEEEEEEEEEE, na UHURU................? KAZI YA TANU . TUNATAKA...
:A S 103::argue:ACHENI KUJIFANYA HAMJUI KINACHOENDELEA, PENGO KASHASEMA ANAWAFAHAMU WALIPUAJI KWA MUJIBU WA TAARIFA ALIZOPEWA NA WATU WAKE WA ITELEGENSIA. HIVYO SUBIRINI IPO SIKU ATAWATAJA HADHARANI,:whoo:
ACHENI uchochezi, mwawezaliingiza taifa ktk janga kubwa, Waislam hawana shida na wakristo. acheni uchunguzi ukamilike ndo muongee. kwani yaweza bainika kuwa wakristo haohao ndo wahusika. uchunguzi wa awali umeonyesha muhusika ni mkiristo AMBROSE. NA ukifuatilia maelezo yote toka mwanzo unaona...
Na bado wanazidi kuipanda mbegu chafu kwa kuwakamata hawa raia wa SAUDIA yote hii nikutaka kunasibisha tukio hili na waislam. kwanini wasikamate wamarekani/israel nk
ACHA UCHONGANISHI WEWE , nani kakwambia ilunga amesema wauliwe viongozi wa kidini wa tz. Ilunga alilenga yaliyotokea kule kenya baada ya muaji ya sheikh ROGO na alitoa maelekezo kwa mujibu wa quran
:attention::bange:AWAMU HII YA NNE WAMEJITAHIDI KWA MENGI NAORODHESHA TU BAADHI
1,JK ameweka mtandao wa barabara kwa nchi nzima
2.kajenga chuo kikuu cha dodoma
3 shule za sekondari ni nyingi mno kila kata
4ujenzi wa barabara za mabasi yaendayo kasi
5.ujenzi wa daraja la kigamboni unaendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.