Recent content by King9

  1. K

    Hard talk: Kuhusu Sheria za Ardhi pekee

    Nimenunua kiwanja mwaka 2007 kupitia wakili na nikajenga ndani ya miezi 2 nikahamia.mwaka Jana ndugu ya aliyeniuzia wanakuja kudai kwamba ndugu yao(marehemu) ajaniuzia na wana documents zote za kiwanja na mm ninazo za kwangu ila zinafanana na za kwao.hivi kuna uwezekano wa kudhurumiwa?
  2. K

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Nipo buza tanesco temeke DSM king'amuzi no 02139150556-3 ni cha dish,kilionyesha no service niliwaita mafundi wenu wakalekebisha baada ya siku tatu imekata tena inaonyesha E01:No input signal Nawapigia cm mnasema tatizo litashughulikiwa,sasa ni wiki ya tatu wale mafundi nawapigia cm wasema...
  3. K

    Namshangaa huyu MBWA

    Labda jibwa la koko
  4. K

    Who is your role model 2016-2017?

    MUHAMMAD S.A.W
  5. K

    Wanayofanyiwa watuhumiwa wa ugaidi Segerea

    Wahalifu au washukiwa wa uhalifu?heading imewaukumu kabisa hao ni wahalifu, ebu kuweni makini.
  6. K

    Serikali haieleweki kabisa kuhusu ajira hasa za waalimu

    Umesema kweli,mm na mhanga mwenzako nimekuwa dereva wa daladala,inauma sana ndugu
  7. K

    Mtuhumiwa wa ulipuaji mabomu Arusha auawa na Polisi akijaribu kutoroka

    Polic wanajenga uhasama na raia kwa kufanya mauaji kwa kijana asiyekua na hatia,ipo cku tutalipa kisasi,pumzika kwa amani yahya(sensee)
  8. K

    Kuzuia baadhi ya mavazi CBE ni kinyume na haki za binadamu

    mwache atayalishe maadili kwa viongozi watarajiwa,safi sana
  9. K

    Mikopo kwa wanafunzi wa Diploma 2014|2015

    jina langu limetoka udom course special ya ualimu wa masomo ya sayansi diploma na tumeambiwa tuombe mkopo lkn heslb deadline ni sept10 wkt majina yametoka sept14
Back
Top Bottom