Recent content by king rockie ATL

  1. K

    Msaada kuhusu kureset simu

    Nimefanya vyote hivyo imegoma
  2. K

    Msaada kuhusu kureset simu

    Jamani wataalam nlikua nareset simu huawei y 530 lakini sas ikiwaka inaishia kuonyesha android tu,wanaojua msaada tafadhali
  3. K

    Boom lini tena ?

    soma kijana boom waachie bodi
  4. K

    nimeweza ku save TAS 460000 katika semister mbili, nna mpango wa kuanzisha biashara ya kilimo....

    Sijui kwanini we jamaa kila nikisoma comments zako napata hasira,sasa unachobisha nini hapo its very possible just depending on how you switch yourself,you just cant deny it by reflecting your stupid budget! get it clear
  5. K

    nimeweza ku save TAS 460000 katika semister mbili, nna mpango wa kuanzisha biashara ya kilimo....

    Sijui kwanini we jamaa kila nikisoma comments zako napata hasira,sasa unachobisha nini hapo its very possible just depending on how you switch yourself,you just cant deny it by reflecting your stupid budget! get it clear
  6. K

    Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

    Kweli huku ndio chama kilichoshika hatamu kinakotupeleka?? Basi conclusion ni kwamba level hii ya elimu haina maana kwa ufaulu huu!
  7. K

    Mimi na BVM bhaasiii..!! Nahitaji ushauri wako wa kujenga na si kubomoa

    Pole kijana ndo inabidi uzoee BVM inahitaji uwe serious full time na sikushauri uache komaa tu hata kwa probation tutafika tu
  8. K

    TUMIA Whatsapp na Instagram kwenye Computer yako

    Nini kinachokuzingua tukusaidie?
  9. K

    SUA ni kama juventus.

    Sasa ndo naanza kuconfirm kwamba we Perry huna akili kabisa ulichokiandika hakina mantiki kabisa unafuata mkumbo wa thread zilizotangulia,nakumbuka uliwahi kuleta story ya kaka yako anayekuweka mjini hapa jamvini nadhani haya uliyoyaandika hapa ungemuuliza labda angekufungua hiyo akili yako...
  10. K

    Degree ya SUA pesa yako tu

    Huku BVM hayo mapya hatujasikia bado!!!
  11. K

    CBE na IFM ni kama Chelsea

    Huna akili kabisa wewe,kumbuka hili ni jukwaa la elimu na sio la utumbo wako unaouandika hapa!:A S angry::A S angry:
  12. K

    Karibu Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro

    Ukitaka kujua ubora na umaarufu wa SUA uje kusoma ndio utajua kuna vitu gani,trust me SUA is one of the best places to be!
  13. K

    Udom kama Barcelona

    :glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy: yangu macho!
  14. K

    Sua sua

    Karibu sana ila angalia shauku yako isije ikaishia njiani.
Back
Top Bottom