Nahitaji laptop used aina kati ya hp, dell, lenovo na toshiba yenye hard disk kuanzia gb250 kwenda juu,,, ofa yangu ni sh 250,000 napatikana kwa namba 0779575664 nipo dsm
Samahani wadau naomba kuuliza mimi niliapply tin online na nikaipata walinitumia kwa email yao lengo kuanzisha biashara lakin mambo yangu yakaenda kombo nikashindwa kufugua biashara leo nimekuja kuitaka kutumia ile tin niliyopewaa naambiwa not found, je inawezekana tin kuepire muda wake wa...
Samahani wanajamvi mimi nina swali na pia nisaidiwe:, Nina ndugu yangu yupo kituo cha polisi kwa kosa la kununua mali ya wizi:-
Swali 1. Je naweza kupata dhamana yake?
Swali 2. Je naweza kupata namna nzuri ya kumaliza kesi yake
Swali 3. Je ni haki kukaa pale kituoni kwa siku mbili sasa
Tatizo...
Jamani mikoaa ambayoo inafanyiwaa udadisi huoo ni ipi orodheshen maana natafuta siioni so kila mkoaaa unafanyiwaa hii kitu #ufafanuzi please
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.