Recent content by Kilakshari

  1. Kilakshari

    Klabu Bingwa Afrika: Yanga 1 - 1 Al Ahly, 9 Aprili 2016

    Request Rejected Sina hakika sana, Ila kuna uwezekano mkubwa mechi ikaonyweshwa online katika link hiyo hapo juu toka kwenye website ya klabu ya al ahly
  2. Kilakshari

    Klabu Bingwa Afrika: Yanga 1 - 1 Al Ahly, 9 Aprili 2016

    Nawatakia watani wangu wa jadi ushindi mnono dhidi ya al ahly. Msiogope takwimu, piganeni, gangamaleni, atumwi mtu sokoni Leo na inshallaah mtashinda.
  3. Kilakshari

    Updates: Misri vs Tanzania [Michuano ya makundi kufuzu AFCON 2017]

    Nadhani Stars inajitahidi sana. Nimeangalia dakika 30 za mwisho kipindi cha kwanza. Golikipa ni mzuri sana, bila jitihada zake tungekuwa tumepigwa mbili mpaka half time hii. Beki mwenye jezi namba 2-nadhani ni Nyoni huyu, anacheza vizuri sana. Tatizo letu mpira unadunda sana eneo letu...
  4. Kilakshari

    CAF Champions League

    Mmmh! Maskini Yanga!!!
  5. Kilakshari

    CAF Champions League

    Yanga wajitahidi wapata walau bao moja, hapo waarabu itabidi wapige 2 ili wapite.
  6. Kilakshari

    CAF Champions League

    Naombeni mnipe link ingine, ile ya nile aionyeshi tena.
  7. Kilakshari

    CAF Champions League

    Mungu ibariki Yanga. Mungu ibariki Tanzania!
  8. Kilakshari

    CAF Champions League

    Asante sana Heaven on Earth, nimeangalia kipindi cha kwanza kwa hii link
  9. Kilakshari

    CAF Champions League

    NAomba link inayoonyesha, nilizonazo naona azionyeshi.
  10. Kilakshari

    CAF Champions League

    Ushauri wangu kwa Yanga: 1: Nidhamu iwe nambari moja uwanjani. Waarabu watatumia kila mbinu ili mmoja wenu au wengi apewe kadi nyekundu. Mkisukumwa msirudishe kwa kuwapiga ngumi bali muwe kama kondoo vinginevyo mtacheza pungufu na mtakuwa wacomoro kwao. 2: Kushambulia mwanzo mpaka mwisho huku...
  11. Kilakshari

    CAF Champions League

    Link ya uhakika ni hii hapa Al Ahly SC vs Young Africans, Mar 09, 2014 – Live Stream, Score, Prediction
  12. Kilakshari

    CAF Champions League

    Naomba nikuulize swali. Tanzania inawakilisshwa na nani katika mashindano ya klabu bingwa 2014 barani Afrika?
  13. Kilakshari

    LIVE UPDATES: Uganda Vs Tanzania [The Cranes against Taifa Stars] | 2014 CHAN Qualifiers

    Kwa kuwa tulishafungwa 1-0 nyumbani, mechi kama hii ilifaa iwekwe mikakati kuwa waganda awagusi kabisa nyavu za Stars. Lakini wameshazigusa tena mara tatu-tafsiri ni kwamba Stars hapo hamna kitu, wameshindwa kabisa. Hii sio timu ya kuitegemea tena. Kama tunataka kushinda mashindano ya kimataifa...
  14. Kilakshari

    LIVE UPDATES: Uganda Vs Tanzania [The Cranes against Taifa Stars] | 2014 CHAN Qualifiers

    Hata mie nilishangaa kumuona Bocco kwenye list. Anacheza vizuri mechi za nyumbani lakini za kimataifa awezi, mechi muhimu kama hii wangemuweka benchi. Sikusema mapema kwa kuwa namuamini kocha, lakini kama mpaka usawa huu aleti mafanikio wampumzishe mapema.
  15. Kilakshari

    LIVE UPDATES: Uganda Vs Tanzania [The Cranes against Taifa Stars] | 2014 CHAN Qualifiers

    Ehehehehehe ... Ivory coast special case.
Back
Top Bottom