Kwa heshima na taadhima namuomba waziri mwenye dhamana ya nishati atutangazie mgao wa umeme na atupe ratiba ya mgao huo ili tuweze kujipanga kwa kujua tunahifadhi vipi vyakula vyetu na pia tuweze kuwapa appointments za uhakika wateja wetu wanaosubiri huduma zinazotegemea umeme. Muda huu...
Ni vigumu mwanamke kuangukia katika tarehe moja kwa kuwa mzunguko wa hedhi haufuati kalenda ya mwezi bali mzunguko wa mwanamke, na miezi hutofautiana urefu so sio rahisi kufuata tarehe hiyo hiyo japo yaweza tokea concidentally kwa mtu ambaye hana constant cycle kama mkeo.
Naona watu wengi...
Unaambiwa ni kikundi cha 'mungu ni msaada wetu' wewe unasema Mashahidi wa Yehova. Ndio maana mnafeli mitihan. Mashahidi wa Yehova wanatibiwa hospitali na kupata chanjo zote, acha kuongea kizuzu
Pole sana ndugu,
Inawezekana kabisa kuwa na h pylori bila kuwa na vidonda vya tumbo. Hawa ni bacteria walio common sana kwenye mazingira yetu. Inakadiriwa asilimia 60 ya watu wana hawa bacteria kwenye matumbo yao, lakini si lazima upate vidonda unapokuwa nao japo ni moja ya factor muhimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.