Search results

  1. kapotolo

    Natangaza kiama kwa huyu daktari uchwara

    Ungekuwa serious na hicho kihama usingekuja huku
  2. kapotolo

    Uchumi wa Tanzania unapaa

    Wataalamu mnijuze kama 'inclusive economy' ndio uchumi kupaa
  3. kapotolo

    Upendo Peneza ataja sifa za mwanaume wa kumuoa

    Kuna watu ukisoma comment zao unawahurumia
  4. kapotolo

    Upendo Peneza ataja sifa za mwanaume wa kumuoa

    Umri wake unamruhusu kutaka mwanaume wa hizo sifa.
  5. kapotolo

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kwa heshima na taadhima namuomba waziri mwenye dhamana ya nishati atutangazie mgao wa umeme na atupe ratiba ya mgao huo ili tuweze kujipanga kwa kujua tunahifadhi vipi vyakula vyetu na pia tuweze kuwapa appointments za uhakika wateja wetu wanaosubiri huduma zinazotegemea umeme. Muda huu...
  6. kapotolo

    Mkuu wa Wilaya ya Geita kutoa kadi yake ya NHIF iwatibu waliojeruhiwa na fisi ni kosa la jinai

    Hii nchi ina safari ndefu sana kufikia kutokomeza ujinga.
  7. kapotolo

    Msaada: Nitajuaje siku za hatari kwa mke wangu?

    Ni vigumu mwanamke kuangukia katika tarehe moja kwa kuwa mzunguko wa hedhi haufuati kalenda ya mwezi bali mzunguko wa mwanamke, na miezi hutofautiana urefu so sio rahisi kufuata tarehe hiyo hiyo japo yaweza tokea concidentally kwa mtu ambaye hana constant cycle kama mkeo. Naona watu wengi...
  8. kapotolo

    Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

    Sawa nimeelewa, hii inaitwa dysmenorrhoea kitaalamu.
  9. kapotolo

    Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

    Chango ndio ugonjwa gani wakuu.
  10. kapotolo

    Kikundi cha 'Mungu ndie msaada wetu' kipigwe marufuku haraka

    Unaambiwa ni kikundi cha 'mungu ni msaada wetu' wewe unasema Mashahidi wa Yehova. Ndio maana mnafeli mitihan. Mashahidi wa Yehova wanatibiwa hospitali na kupata chanjo zote, acha kuongea kizuzu
  11. kapotolo

    Fahamu kuhusu bakteria wa H.Pylori; Athari na tiba yake

    Pole sana ndugu, Inawezekana kabisa kuwa na h pylori bila kuwa na vidonda vya tumbo. Hawa ni bacteria walio common sana kwenye mazingira yetu. Inakadiriwa asilimia 60 ya watu wana hawa bacteria kwenye matumbo yao, lakini si lazima upate vidonda unapokuwa nao japo ni moja ya factor muhimu...
  12. kapotolo

    Ni ubabe au? Bodi ya Mikopo wanakata mpaka 500,000/ kwa mwezi, watumishi ni kilio

    Mm nilikuwa nakatwa laki 6 na 37 elfu, nashukuru nimemaliza kabla ya hiyo 15% yao. Huu uonevu sana.
  13. kapotolo

    Nigeria:Dada graduate Jehova Witness afariki kwa kutokuengezewa Damu kwa sababu ya Imani hairuhusu.

    Mkuu daktari akikuzuia kunywa pombe, ni sawa ukiwekewa hiyo pombe kwa dripu? Madhara hayatakuwepo? Mungu amekataza matumizi ya damu isipokuwa kwa ajili ya sucrifice tu kama walivyotumia waisrael au damu ya Yesu ilivyomwagika kwa ajili yetu. Ndio maana tukaamuliwa tuchinje kumwaga damu ya mnyama...
  14. kapotolo

    Makerere ya Uganda yawakilisha EAC kwenye ubora wa vyuo vikuu

    Unashuku nn, hiyo source yako outdated ndio unatamba nayo, from 7 to 26, next time 58....ha ha ha sibishani na wajinga, ulale unono.
  15. kapotolo

    Makerere ya Uganda yawakilisha EAC kwenye ubora wa vyuo vikuu

    Source gani wewe mjinga, kwani hapo si inaonyesha mko top 30
  16. kapotolo

    Makerere ya Uganda yawakilisha EAC kwenye ubora wa vyuo vikuu

    Mngekuwa hata top 20 sijui ingekuwaje...kujisifu tu
  17. kapotolo

    Makerere ya Uganda yawakilisha EAC kwenye ubora wa vyuo vikuu

    Kwako lazima utukane wewe msengenyaji
Back
Top Bottom