Recent content by kapari nesta

  1. K

    Mtoto wa mke wangu amenishinda, anaelekea kuvunja ndoa yetu

    Umenena vizuri sana, nakupongeza kwa maneno mazuri, wenzenu wachache ndio wanawaharibia wote, Unamkuta mtu ana mtoto na ameshapigika sana kimaisha, yupo tu kwao hana mbele wala nyuma, kidume unajitoa ufahamu, unajitoa mhanga kumsaidia, unamchukua hivyo hivyo na shida zake na mizigo yake yote...
  2. K

    Mtoto wa mke wangu amenishinda, anaelekea kuvunja ndoa yetu

    Umesema mkeo anatoa ushirikiano 100% ndio maana mmefanikiwa, hata mke wangu Mimi angekua anatoa ushirikiano kama huyo wako hata hii thread msingeiona hapa, tungekua tumefanikiwa zamani, sasa mm peke yangu ndo nahangaika kumsaidia huyu mtoto, mama yake anaungana nae katika hayo matendo yake na...
  3. K

    Mtoto wa mke wangu amenishinda, anaelekea kuvunja ndoa yetu

    Si Mimi tu soma comment zote humu ndani, robo tatu wanaamini hivi, wanawake wenye watoto wengi ni vimeo, wanaamini hivyo kwa kua wengi wanaiona mifano hai Mimi naamini katika utafiti mama, Fanya utafiti kuhusu kuoa mwanamke mwenye mtoto, kuanzia humu ndani, mitaani, maofisini, n.k Respondent...
  4. K

    Mtoto wa mke wangu amenishinda, anaelekea kuvunja ndoa yetu

    Sijahitaji ushauri mkuu, sentensi yangu yangu ya mwisho inatamka najua cha kufanya Nilipenda kushare nanyi ili msioe wanawake wenye watoto ni usumbufu mkubwa, otherwise nimeshafanya maamuzi
  5. K

    Mtoto wa mke wangu amenishinda, anaelekea kuvunja ndoa yetu

    Hapa ni jukwaa la mapenzi na ndoa ndipo sehemu haswaa, hapa ndipo wanajukwaa wanapoleta shida na kero za ndoa zitatuliwe na wana Jf Pili sijaomba ushauri, walioshauri wamependa tu kushauri lakini sijaomba mtu ushauri, nimeamua Ku share tu ili wengine wapate cha kujifunza hasa wasiooa Mwisho...
  6. K

    Mtoto wa mke wangu amenishinda, anaelekea kuvunja ndoa yetu

    Rudi tena kwenye uzi, nna uhakika ulisoma kwa haraka haraka Nilisema hivi Nimefanya kila njia unayoijua ikiwemo, kuleta watu wa dini, kuzungumza nae kwa upendo, kumkanya, na kuadhibu pale inapobidi Nimeshafanya yote uliyoshauri hapo juu 1000000 times Unataka nisimame nje ya nyumba yangu uchi...
  7. K

    Mtoto wa mke wangu amenishinda, anaelekea kuvunja ndoa yetu

    Nawasalimu wote Nilimuoa mke wangu wakati akiwa na mtoto mkubwa wa darasa la saba, Mimi nimezaa nae watoto wawili, tulifunga ndoa bomani kutokana na utofauti wa dini Tatizo linaloninyima usingizi ni huyu mtoto wa wife, amekuwa na tabia zisizofaa, wakati tunafunga ndoa makubaliano yalikuwa ni...
Back
Top Bottom