Umenena vizuri sana, nakupongeza kwa maneno mazuri, wenzenu wachache ndio wanawaharibia wote,
Unamkuta mtu ana mtoto na ameshapigika sana kimaisha, yupo tu kwao hana mbele wala nyuma, kidume unajitoa ufahamu, unajitoa mhanga kumsaidia, unamchukua hivyo hivyo na shida zake na mizigo yake yote...
Umesema mkeo anatoa ushirikiano 100% ndio maana mmefanikiwa, hata mke wangu Mimi angekua anatoa ushirikiano kama huyo wako hata hii thread msingeiona hapa, tungekua tumefanikiwa zamani, sasa mm peke yangu ndo nahangaika kumsaidia huyu mtoto, mama yake anaungana nae katika hayo matendo yake na...
Si Mimi tu soma comment zote humu ndani, robo tatu wanaamini hivi, wanawake wenye watoto wengi ni vimeo, wanaamini hivyo kwa kua wengi wanaiona mifano hai
Mimi naamini katika utafiti mama, Fanya utafiti kuhusu kuoa mwanamke mwenye mtoto, kuanzia humu ndani, mitaani, maofisini, n.k
Respondent...
Sijahitaji ushauri mkuu, sentensi yangu yangu ya mwisho inatamka najua cha kufanya
Nilipenda kushare nanyi ili msioe wanawake wenye watoto ni usumbufu mkubwa, otherwise nimeshafanya maamuzi
Hapa ni jukwaa la mapenzi na ndoa ndipo sehemu haswaa, hapa ndipo wanajukwaa wanapoleta shida na kero za ndoa zitatuliwe na wana Jf
Pili sijaomba ushauri, walioshauri wamependa tu kushauri lakini sijaomba mtu ushauri, nimeamua Ku share tu ili wengine wapate cha kujifunza hasa wasiooa
Mwisho...
Rudi tena kwenye uzi, nna uhakika ulisoma kwa haraka haraka
Nilisema hivi
Nimefanya kila njia unayoijua ikiwemo, kuleta watu wa dini, kuzungumza nae kwa upendo, kumkanya, na kuadhibu pale inapobidi
Nimeshafanya yote uliyoshauri hapo juu 1000000 times
Unataka nisimame nje ya nyumba yangu uchi...
Nawasalimu wote
Nilimuoa mke wangu wakati akiwa na mtoto mkubwa wa darasa la saba, Mimi nimezaa nae watoto wawili, tulifunga ndoa bomani kutokana na utofauti wa dini
Tatizo linaloninyima usingizi ni huyu mtoto wa wife, amekuwa na tabia zisizofaa, wakati tunafunga ndoa makubaliano yalikuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.