Recent content by KANDIRI

  1. K

    Yaliyojiri Mwitongo, kutangaza kuwania urais kwa Makongoro Nyerere

    Naona njia ya Magogoni inazidi kumnyokea Makongoro, ni bora huyu Makongoro aingie kuliko hawa mafisadi na team rejects gao
  2. K

    UDSM Administration wana double standards? Kumbe Nyama Choma Festival walipigwa fitna

    Mungu hatendi mambo yake kwa roho ya kibinadamu kama yako, halafu nyie ndio wale watu mnaotuhubiria injili kwa kututia hofu
  3. K

    Ripoti ya CAG kwa mwaka ulioishia Juni 30, 2014 yabaini ufisadi wa zaidi ya bilioni 600

    Huyu naye nina wasiwasi kama atadumu kwenye hiyo post
  4. K

    Mwanamke ajifungua mtoto kg 6.3 kwa njia ya kawaida

    Mimi mwanzo nilimaanisha huwa kuna complication kama njia ya mama isipoendana na ukubwa wa mtoto, kama njia ni ndogo huwa mtoto hutoka akiwa amechoka, na anaweza kupata kitu kwa kitaalamu inaitwa birth asphyxia, one way ya kutambua ukubwa wa mtoto aliyeko tumboni ni kwa kufanya clinical...
  5. K

    Mwanamke ajifungua mtoto kg 6.3 kwa njia ya kawaida

    Karefresh your physics, uzito wa mtoto ni ukubwa wa mtoto
  6. K

    Mgodi wa ACACIA umetangaza kupunguza wafanyakazi 270

    Kusingekuwa na wanawake kungekuwa na amani duniani
  7. K

    Mwanamke ajifungua mtoto kg 6.3 kwa njia ya kawaida

    Huyo mtoto hakupata matatizo after kweli? Maana kg 6.3 mmmmmmmh, huyo mama hio njia au balaaa
  8. K

    Msagatia akakimbilia Morogoro

    Heard hata Newton alikuwa na Dyslexia. Elimu yetu bado sana kuwatambua na kuwasaidia watu wenye matatizo
  9. K

    Hivi Afrika ingelikuwa ya kwanza kuendelea, Wazungu wangelifuata imani zetu?

    Unakuta mzungu anabatizwa kwa jina la Byombalilwa Rugemalira
  10. K

    Honda HR-V.

    Hii gari hata mimi nimeilewa ila tatizo haya maneno ya spea ndio msala
  11. K

    Aliniambia mtoto kafariki kumbe yupo hai

    Ila hapo wote wana makosa, huyo dada kwanza ni mwongo kamdanganya hadi mume wake wa sasa hivi kwamba jamaa ni marehemu, then kamdanganya mtoto na biological father, mi sitaki kujua kuhusu what happens hapo katikati lakini ninachokiona ni mshikaji kafanya jambo la maana kumtafuta binti yake
  12. K

    Mume wa mtu

    Ila mi nimekupendea kitu kimoja,pale ulipong'ang'ania mchizi avae kondomu.
Back
Top Bottom