Search results

  1. K

    Yaliyojiri Mwitongo, kutangaza kuwania urais kwa Makongoro Nyerere

    Naona njia ya Magogoni inazidi kumnyokea Makongoro, ni bora huyu Makongoro aingie kuliko hawa mafisadi na team rejects gao
  2. K

    UDSM Administration wana double standards? Kumbe Nyama Choma Festival walipigwa fitna

    Mungu hatendi mambo yake kwa roho ya kibinadamu kama yako, halafu nyie ndio wale watu mnaotuhubiria injili kwa kututia hofu
  3. K

    Ripoti ya CAG kwa mwaka ulioishia Juni 30, 2014 yabaini ufisadi wa zaidi ya bilioni 600

    Huyu naye nina wasiwasi kama atadumu kwenye hiyo post
  4. K

    Mwanamke ajifungua mtoto kg 6.3 kwa njia ya kawaida

    Mimi mwanzo nilimaanisha huwa kuna complication kama njia ya mama isipoendana na ukubwa wa mtoto, kama njia ni ndogo huwa mtoto hutoka akiwa amechoka, na anaweza kupata kitu kwa kitaalamu inaitwa birth asphyxia, one way ya kutambua ukubwa wa mtoto aliyeko tumboni ni kwa kufanya clinical...
  5. K

    Mwanamke ajifungua mtoto kg 6.3 kwa njia ya kawaida

    Karefresh your physics, uzito wa mtoto ni ukubwa wa mtoto
  6. K

    Mgodi wa ACACIA umetangaza kupunguza wafanyakazi 270

    Kusingekuwa na wanawake kungekuwa na amani duniani
  7. K

    Mwanamke ajifungua mtoto kg 6.3 kwa njia ya kawaida

    Huyo mtoto hakupata matatizo after kweli? Maana kg 6.3 mmmmmmmh, huyo mama hio njia au balaaa
  8. K

    Msagatia akakimbilia Morogoro

    Heard hata Newton alikuwa na Dyslexia. Elimu yetu bado sana kuwatambua na kuwasaidia watu wenye matatizo
  9. K

    Hivi Afrika ingelikuwa ya kwanza kuendelea, Wazungu wangelifuata imani zetu?

    Unakuta mzungu anabatizwa kwa jina la Byombalilwa Rugemalira
  10. K

    Honda HR-V.

    Hii gari hata mimi nimeilewa ila tatizo haya maneno ya spea ndio msala
  11. K

    Aliniambia mtoto kafariki kumbe yupo hai

    Ila hapo wote wana makosa, huyo dada kwanza ni mwongo kamdanganya hadi mume wake wa sasa hivi kwamba jamaa ni marehemu, then kamdanganya mtoto na biological father, mi sitaki kujua kuhusu what happens hapo katikati lakini ninachokiona ni mshikaji kafanya jambo la maana kumtafuta binti yake
  12. K

    Mume wa mtu

    Ila mi nimekupendea kitu kimoja,pale ulipong'ang'ania mchizi avae kondomu.
  13. K

    Ikulu sio wodi ya wagonjwa, Lusinde amnanga Dk. Slaa

    Huyu jamaa karopoka vapour, hajui hujafa hujaumbika? Mwenzake Capt Komba(RIP) Alisema mzee Warioba anakaribia kufa, akatangulia yeye
  14. K

    Adebayor Family drama part 2

    Huyu jamaa Adebayor ana matatizo, naona anatafuta mchawi wa masuala yake kwenda kombo, kwa hapa naanza kuona kabisa dada yake she got a point
  15. K

    Binti kamwaga ugali, wakuu na mimi nimwage mboga?

    Thats totally unfair! Angekupa tunda je ? Decision yako ingekuwaje? Wewe umezingua toka Mwanzo, kwanza unatongoza kishamba, ulitakiwa kuusoma mchezo kwanza, wewe yaani miezi minne unaspend hivyo na manzi haeleweki? Halafu cousin ndio anamleta kazini daily? Braza mpe kazi binti wa watu halafu...
  16. K

    Ameni-dump kwa mara ya pili

    Ila ndio mapenzi yalivyo, ni mara chache mbuzi kufia kwa muuza supu
  17. K

    Alininyanyasa sana nilipofukuzwa kazi, MUNGU ameniona, sasa yamegeuka

    Braza fanya mpango uedit hayo mambo ya kazi uliyoinclude kwenye narration, muulize mtu jinsi ya kuedit. Mi nahuzunika sana jinsi unavyochezea shillingi chooni
Back
Top Bottom