Recent content by KAMSI

  1. K

    Nyumba ya kupanga Mbeya mjini

    Wanajamii habari zenu, Namtafutia mdogo wangu nyumba ya kupanga Mkoani Mbeya iwe maeneo ya Sae, forest Iramba au Mjini yenye iwe self contained yenye chumba cha kulala, sebule, jiko na choo iwe kwenye hali nzuri ya usafi na iwe ndani ya fence. Naomba msaada
  2. K

    Nauza vifaa vya Ujenzi

    bati za migongo mipana za rangi urefu wa mita 3 naweza kuzipata kwa shilingi ngapi original sio mchina please
  3. K

    Natafuta mbao na Mabati

    Tegeta ni mbali sana na nnakojenga isdoramboa maana mm nnajenga kivule yaani mbele ya kitunda njia ya gongo la mboto so nahisi nikiweka na usafiri gharama itarudi palepale kama ya mtaani
  4. K

    Natafuta mbao na Mabati

    Asante ila nimesikia buguruni kuna udalali mwingi anyway ntajaribu kucheki
  5. K

    Natafuta mbao na Mabati

    mandela road sehemu gani au kituo gani maana barabara ya mandela ni kubwa inaanzia ubungo hadi bandari
  6. K

    Natafuta mbao na Mabati

    natafuta mbao kwa ajili ya kuezekea nyumba yangu 2 *2 na 4*4 pamoja na mabati ya rangi kama ya vigae ambae ana bidhaa original atume bei fasta maana niko likizo kwa ajili ya kazi hii
  7. K

    Hydraform machine and Hydraform blocks Tanzania Branch

    Hizi machine najua ziko zinazotumia mafuta na umeme tafadhali unaweza kunisaidia kujua bei zake i would prefer to have one
  8. K

    Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

    Nitumie mchanganuo wa gharama please nimevutiwa na hii project:firstsaby@yahoo.com
  9. K

    Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

    Unajua hii ni fursa nzuri kwetu sisi vijana tunaoanza maisha ila nina maswali kidogo 1. Kwa sisi tuliozaliwa mjini kilimo kidogo kilitupitia kando has hii horticulture je mnatoa mwongozoa au mafunzo yeyote 2. Je jumla ya gharama zote ni kiasi gani maana hapo sijaelewa. namaanisha mtu anahitajika...
  10. K

    Bei ya mabati

    Hayo mabati jeshini ulinunua moja sh ngapi?
  11. K

    Bei ya mabati

    Hayo mabati ulinunua sh ngapi kwa moja
  12. K

    Kilimo kwa njia ya greenhouse

    angalia hapa Green House | Balton Tanzania
  13. K

    Kilimo kwa njia ya greenhouse

    sina uhakika lakini nasikia cost yake kila kitu mpaka inakuwa tayari inaweza kufika mil 4-10 inategemea na size ya nyumba hapa TZ ulizia balton wako Arusha, Dar na Iringa
  14. K

    Mabati ya kisasa na mbao kwa ujenzi wa nyumba bora.

    be serious kaka elekeza ulipo wateja tupo
  15. K

    Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

    Kwa kuanza ningependa uende ukapime magonjwa mbalimbali maana kuna magonjwa yanayosababisha kuongezeka kwa uzito wa mwili mfano wanawake wengi wenye PCOS wanatatizo hili na udhibiti wa uzito wao ni tofauti na wengine. Na kama ni mzima basi Mazoezi ni jambo la kwanza kukushauri lakini ufanyaji wa...
Back
Top Bottom