Wamchague gwiji atakayenogesha ushindani na CCM.
Mgombea mwenza awe Fatma Karume
Waziri Mkuu - Zitto Kabwe
Waziri wa Sheria na Katiba - Tundu Lissu
Waziri wa Maliasili -- Mch Msigwa
Waziri wa Elimu - James Mbatia
Nk
Kambarage aliona mbali,akasema mabadiliko yatatoka ndani ya chama tawala.Kwasababu aliye ndani anayajua vyema ya ndani hivyo akitoka nje akachanganya na ya wengine ndiyo tunaweza kuona mabadiliko Makubwa
Na pia nyuma yake ana watu wengi ndani na nje ya chama tawala.
Na pia alikuwa ameshajipanga...
Nadhani kila mtu Mtanzania yupo huru kugombea ili aende kwa wananchi wamchambue kama ana uwezo,sifa,na kama anakubalika ili wamuulize nini aitaifanyia Tanzania na walinganishe kama amefanya nini kijijini ,wilayani au mkoani kwake mpaka aone anaweza pia kufanya kwa Taifa letu
Nadhani kila jambo lina mwisho,cha msingi tuombe mwisho mzuri.Kama Mwl Julius alivyosema HAKI NI THAMANI YA UBINADAMU na JASHO la Wananchi Wazalendo lipo kwao na kwa Mungu.Hivyo HAKI na JASHO(UTENDAJI KAZI) wa Walala hoi vitalipwa na matokeo ya UZALENDO WA WATAKAOSIMAMIA UKWELI WA HAKI ZA WENGI.
Uko sahihi lakini kuwawajibisha halina time frame.Waweza kushitakiwa hata baada ya kifo chako na hukumu ikatolewa ili iwe mfano na kielelezo kwa kutumika kwa kesi zijazo.Kosa halina mipaka ya adhabu
Azoospermia is the medical condition of a man not having any measurable level of sperm in his semen. It is associated with very low levels of fertility or even sterility, but many forms are amenable to medical treatment. In humans, azoospermia affects about 1% of the male population[1] and may...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.