Recent content by Kaitampunu

  1. Kaitampunu

    Godbless Lema katika kashfa ya kuiua CHADEMA Arusha

    Mama Porojo, ulizaa mtoto ukamwita Porojo au Porojo ni mumeo?
  2. Kaitampunu

    Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote

    Kama utata haupo acha tume iundwe ukweli ujulikane!!! Kwani shida iko wapi???
  3. Kaitampunu

    Kwanini Uchaguzi wa Kanda za CHADEMA una msisimko mkubwa kiasi hiki?

    Wewe unajua maana ya uchaguzi wa ndani?
  4. Kaitampunu

    Makonda ona aibu, wenzako hawafoki wala kutishia watu

    Wewe ndo makonda mwenyewe?
  5. Kaitampunu

    Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    Acha wivu watu wameingia darasani hao.
  6. Kaitampunu

    SPECIAL THREAD: Ushauri, Mapendekezo kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Sawa umeandika but of all people you think your makonda can change Arusha?? Never on earth!
  7. Kaitampunu

    Nawezaje kuwa Mwanasiasa bora

    Hebu kuwa chawa kwanza.
  8. Kaitampunu

    Ndani ya miezi mitatu kutakuwa na mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri

    Acha kupiga ramli ndugu fanya kazi wanao wapate kwenda msalani.
Back
Top Bottom