Recent content by Juma Kilaza

  1. J

    Masyaga Matinyi: Kibaraka wa Waarabu (OBC) Loliondo

    Hapa hoja si Matinyi kuwa kibaraka au kwenye payroll ya Mwarabu, tungekuona mtu wa maana kama ungejibu hoja za Matinyi zilizopo kwenye Makala yake, Makala ambayo nimeisoma na sioni tatizo.
  2. J

    Kikao cha NEC ya CCM yampongeza Mh. Edward Lowassa, mjini Dodoma

    Yes! It is Edward Lowassa for Tanzania, CCM, UKAWA, CDM, BAVICHA, CUF, e.t.c 2015.
  3. J

    Katika Ulimwengu huu - Haki za binadamu ni za wakristo pekee?

    Acha upumbavu. Nendeni msome shule.
  4. J

    Yanayojiri bungeni: Tarehe 20 Machi, 2014

    Mtikila ondoka Dodoma haraka sana. Taarifa ni kwamba wale jamaa wang'oa kucha wameshatinga Dodoma, na walikuwa wakikufuatilia kujua gesti gani unalala.
  5. J

    Miujiza hii inanishangaza,ninaomba uhakiki wenu kama ni ya kweli

    There is nothing like that. Do not waste others time.
  6. J

    Rais Kikwete amteua Dr. Migiro kuwa mbunge

    Migiro hana jipya, angeachwa aendelee kumsaidia Kinana ujenzi wa nyumba vijijini. Monduli Oyee! Monduli Juu 2015!
  7. J

    Mwenye kujua zaidi kuhusu Eliakim Maswi, Katibu Mkuu wa Nishati na Madini

    Wewe uliyetoa hizo tuhuma dhidi ya Maswi inaelekea ulisoma darasa moja na Muhando.
  8. J

    Mshahara wa wabunge wapanda mpaka 11,000,000/-

    Duh! Ndio sababu wabunge wetu ni masikini.
  9. J

    Kapten John Komba: Lowassa anafaa kuwa Rais 2015

    Tusipoteze muda. It is Steven Wasira 2015. God be with us!
  10. J

    Viongozi wa CHADEMA kutoa majibu ya UONGO dhidi ya hoja za kweli za Mwigamba ni kwa faida ya nani?

    Watanzania tuwe makini sana na hawa CHADEMA, ni watu wasioaminika, waongo na mafisadi. Naamini wakati wao umefika, tutasikia mengi.
  11. J

    Nimekutana na hili bandiko Facebook!

    Pumbafu kabsaaaa hawa jamaa!
  12. J

    Kwa wale wenye pesa za kutosha hoteli za bei mbaya kabisa duniani hizi hapa

    Duh! Acha namimi nitafute sembe niuze nikatanue Hong Kong!
  13. J

    TASAF kumuingiza Wassira Ikulu 2015

    Mzee Wasira is very fine, he deserves every good thing our country can offer including Presidency. We need someone serious to lead our country.
  14. J

    Usiyoyajua Kuhusu Nyerere: Shuleni Alikuwa Toto Tundu!, Almanusura Afukuzwe Tabora School!.

    Siwaelewi. Mbona mnazungumzia historia ya Nyerere bila kumtaja Manyerere?
  15. J

    Huu sasa ni mradi wa kujikusanyia fedha na si FIESTA

    Mimi kuhusu pesa wanazokusanya sio issue kwa sababu halazimishwi mtu kulipa etc. Lakini my concern ni social aspect ya fiesta. Hivi tunaandaa kizazi gani Watanzania? Wengi wanaohudhuria ni vijana wadogo. Serikali ilitazame hili.
Back
Top Bottom