k
wa hili nakuunga mkono kabisa..tatizo watu wamekuwa hawamtafuti mungu kwa kusoma neno lake wao wanafata miujiza...sasa hata akili za la kwanza tu manabii na mitume walikuwa wanatoa unabii na wanatumwa...sasa hawa wanatumwa na nani na mbona unabii wao hatuuoni?ilitakiwa waseme na taifa...
Polen na majukumu wana jukwaa kwa heshima na taadhima naomba mtu mwenye utaalamu au link ya kuweza kupata vitabu vya masomo ya sayansi jamii anisaidie ili niweze ku download maana nasikia kuna watu wana huo utaalamu.asanteni sana
HA HA HA HILI NI JINA NILAMBIWA NA MWALIMU MMOJA WA UDSM KUWA ENZI HIZO HAPO CHUONI WALILITUMIA KUWATAITA WATU WANAOSOMA MASOMO YA SOCIAL SCIENCES(ARTS) YAANI YALE YENYE NOTICE KIBAO ZA KUSOMA MFANO HISTORIA ENGLISH POLITICS NK.NA LILITOKANA NA VITABU VYA KUSOMA VYA MAREKANI NA UK VILE VYA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.