Recent content by JOEkizyi

  1. JOEkizyi

    Nahitaji kujifunza saikolojia

    Wakuu nahitaji kujifunza saikolojia ni wapi nianzie na vitabu gani nivisome?
  2. JOEkizyi

    Fahamu tiba halisi ya punyeto/kujichua.

    JE,unajua kuwa tiba pekee ya kuacha punyeto ni ulaji wa vitungu saumu na maji. Matokeo yake ni pamoja na kuratibu ubong hasa homoni ya testeron iliyo kiwango cha juu has wanaongalia picha za x na kujichua pia maji hufanya njia ya mkojo isiwe kavu.
  3. JOEkizyi

    Msaada: Kila nikitongoza mwanamke naishiwa kutukanwa

    Hello JF members, Shida yangu ni kuwa kila nikimtongoza msichana naishia kutukanwa hadi kushushuliwa. Naomba ushauri wenu ninyi mnafanyaje jamani kunasa viumbe hawa mpaka wanajaa geto hawa viumbe, au kamzizi gani kanafanya kazi wakuu? Msaada. Nawasilisha.
Back
Top Bottom