Recent content by Jizo

  1. J

    TECNO yatangaza teknolojia mpya ya RGBW camera sensor + glass ambayo imetengenezwa kwa ushirikiano na Samsung kwenye mfululizo wake wa CAMON 19

    haupo sawa kiakil na kimwil huwez kumdharau mt kwa kutumia ki2 akipendacho,samsung ni brand kubwa hatukatai ila ukija kwa sm moja moja kna tecno kal sana ukilinganisha na uchaf mwingne wa samsung,sk nyingne ukipost ustumie ubongo wa nyuma
  2. J

  3. J

    photocopy machine nzuri

    poa Sent from my Infinix X653C using JamiiForums mobile app
  4. J

    photocopy machine nzuri

    asante sana
  5. J

    photocopy machine nzuri

    naomba kujua photocopy machine( black and white) all in one nzuri ambayo ni heavy duty kwa stationery ya kuanzia m1 to m3 used but in good condition
  6. J

    Namna ya kuondoa madoa kwenye sink ya Ceramic

    wap naweza ipata clorox
  7. J

    Naomba msaada jinsi ya kuset king'amuzi cha kontinento

    kwan naset kwa kutumia receiver ya mediacom ambayoikinasa sattelite huwa inatoa alam
  8. J

    Naomba msaada jinsi ya kuset king'amuzi cha kontinento

    SO sasa unatega uelekeo east as ungo kubwa za c band za zaman?
  9. J

    Naomba msaada jinsi ya kuset king'amuzi cha kontinento

    lnb inakaaje mkuu kama azam au dstv?
  10. J

    Natafuta mkanda wa dell 1420

    jamani kwa mtu mwenye mkanda wa laptop 1420 anipigie simu kwenye no: 0717244446 nimehangaika sana huku moshi bila mafanikio kwa hiyo naomba tufanye biashara na watu wa mikoa mingine nadhani nitapata hasa kwa wale wa dsm!!
  11. J

    Nina Division 4 ya 30..Nataka kurist

    wengi wenu hamjamuelewa dogo yeye katoa point zake za ufaulu wake ili mmusaidie kutokana na matokea aliyopata lkn nyinyi hamtoi msaada kazi kuponda 2 huo ni upumbavyu co wote waliokuwa wanatumia jf wameferi mmekariri vibaya. wakubwa akiri f!!!
  12. J

    Taa ya ajabu.. Sasa inachaji simu pia!!

    Zinacha siku nzima nini?
  13. J

    Taa ya ajabu.. Sasa inachaji simu pia!!

    zinachaji simu kwa masaa mangapi?
  14. J

    Laptop inauzwa Arusha

    Shiling ngapi?
Back
Top Bottom