Recent content by Jerry Farms

  1. J

    Tanzania ukisoma hadi chuo ni kama laana mtaani

    Waache elimu wauze mawigi😁😁😁😁😁 😆😆😆😆
  2. J

    SoC04 Mpango mkakati Uboreshaji na urahisishaji shughuli na muingiliano maeneo ya biashara katikati ya miji na majiji

    Upekee wa miji! Inavutia saana, yaan unaenda mahali unajiamini kabisa
  3. J

    SoC04 Mpango mkakati Uboreshaji na urahisishaji shughuli na muingiliano maeneo ya biashara katikati ya miji na majiji

    Hahahaa....mwenyeji anayepoteaga. Ni hatari saana! Ila mjini ni mjini tu! Kuna watu husema Kariakoo haizoeleki😁😁😁
  4. J

    SoC04 Mpango mkakati Uboreshaji na urahisishaji shughuli na muingiliano maeneo ya biashara katikati ya miji na majiji

    Tanzania imekua ikishuhudia mabadiriko mbalimbali ya kimaendeleo, kufuatia mabadiriko haya vijiji vimekua toka ukijiji hadi mitaa, miji hadi manispaa, manispaa hadi majiji nakadharika. Kufuatia ukuaji huu wa maeneo kasi ya uingilianaji wa shughuli za binadamu ni suala lisiloepukika hivyo...
  5. J

    SoC04 Vita dhidi ya Ujinga: Elimu kombozi kwa maendeleo ya jamii

    Shukrani saana....bila uthibiti wa maarifa tutaangamiza taifa. Tunaweza kuwa na wasomi wenye elimu potoshi.
  6. J

    SoC04 Vita dhidi ya Ujinga: Elimu kombozi kwa maendeleo ya jamii

    Ni nyumbani kwa mzee Masalu! Ubishi mkali unatokea kati ya mzee Masalu na kijana wake ambaye hataki Shule. Hataki shule kwa madai ya kua haoni mwanga mbele! Hali hii imeanza kuota mizizi katika jamaa nyingi za kitanzania, wazazi na vijana wameanza kuwa na wasiwasi na shaka juu ya dhana nzima ya...
  7. J

    SoC04 Teknolojia ya vitambuzi mwendo kutatua changamoto za uvamizi wa Wanyamapori katika makazi pembezoni mwa Hifadhi za Taifa

    Naam! Tahadhari kabla ya hatari, nimeipenda hio both team to score....👊👊
  8. J

    SoC04 Uwekaji Vyoo kando ya Barabara za Kitaifa na Wilaya kulinda Afya ya Wasafiri na Mazingira

    Naam! Vijiji pia vinaweza kushirikiahwa katika zoezi hili. Usafiri wa umma hauna budi kuboreshwa.
  9. J

    SoC04 Teknolojia ya vitambuzi mwendo kutatua changamoto za uvamizi wa Wanyamapori katika makazi pembezoni mwa Hifadhi za Taifa

    Tanzania imebarikiwa kwa kuwa na hifadhi nyingi za taifa, hifadhi hizi zikiwa chini ya mgawanyiko wa: Hifadhi za taifa, hifadhi teule,hifadhi za mawindo na mapori ya akiba. Ramani ya hifadhi za Taifa Tanzania Picha toka mtandaoni Wikipedia Mfano wa hifadhi hizi ni Serengeti, Mikumi, Saadani...
  10. J

    SoC04 Uanzishwaji wa Mashamba ya kimkakati ya Umma kutatua changamoto ya Udumavu nchini

    Shukrani, matumizi ya data ni msingi wa uandaaji wa mpango wa maendeleo.
Back
Top Bottom