Recent content by JASOTA

  1. J

    Mapokezi ya mbunge wa viti maalum Karatu

    vijana nawapongeza kwani kikubwa cha 1 walichofanya ni kubring awareness,,2.kama mbunge ni wa cdm haina tabu waendelee 3.imekuuma nini wakati hata shamba la viaz huna ambalo ungesema wameacha mbuzi wakaja kulishambulia??? 4.kwanini usiwalaani wale vijana wa ccm vyuo vikuu walokurupuka eti...
  2. J

    Mapokezi ya mbunge wa viti maalum Karatu

    vijana nawapongeza kwani kikubwa cha 1 walichofanya ni kubring awareness,,2.kama mbunge ni wa cdm haina tabu waendelee 3.imekuuma nini wakati hata shamba la viaz huna ambalo ungesema wameacha mbuzi wakaja kulishambulia??? 4.kwanini usiwalaani wale vijana wa ccm vyuo vikuu walokurupuka eti...
  3. J

    Diwani wa Lugata - Sengerema ajiunga Chadema

    mmmh huyu jamaaa hafaii hata chembe,,aliwai kuja kitaani kwetu alichokifanya alituwekea cd ya luckdube,,akakoleza na sarafina kisha watu 2kawa wapole akaanza kuhubiri na wote tulijikuta tunalia,,,,maaamaaaaa...siku hiyo ndo nlipokea uponyaji nkavaa gwanda mpaka leo,,,,LEMA HAFAI KAMA BDO...
  4. J

    Miradi ya ujenzi wa barabara na Magufuli

    we humjui uyu fisadi ni balaa eti,,,,ebu pita kwao ukaone,,,kajenga nyumba kawapangisha wafanyakzi wa halmashauri,,,kachukua km za hekari karbu mji mzima eti anafuga wakti hta ndugu zke hawana pakulima...sasa mtu aspjali nduguze we ulidhani atakujali wewe fkara????mimi staki ata kumzskiliza na...
  5. J

    Kama mtanzania ninajiandaa kumburuza lusinde mahakamani

    kwa jina naitwa classroom teacher,mkazi wa jiji mwanza nina elimu ya juu kutoka chuo kilichojengwa na baba yangu (udom). my dears...ninaufahamu kidogo sana na masuala ya sheria,lakini haitakua tija ya mimi kutekeleza adhma yangu. Baba yangu alikua hakimu mkazi na kwa wadhifa...
  6. J

    Kama mtanzania ninajiandaa kumburuza Lusinde mahakamani

    ​kwa jina naitwa classroom teacher,mkazi wa jiji mwanza nina elimu ya juu kutoka chuo kilichojengwa na baba yangu (udom). my dears...ninaufahamu kidogo sana na masuala ya sheria,lakini haitakua tija ya mimi kutekeleza adhma yangu. Baba yangu alikua hakimu mkazi na kwa...
  7. J

    Harambee changia madawati yafana Mwanza chini ya Wenje

    nimechakachua nini??mimi nimeripoti yoote nliyoyaona lakini meengi zaidi nikayaacha....sijatia chumvi licha ya kuonesha mapenzi yangu waziwazi dhidi ya cdm...nakipenda hiki chama...cdm 4ever
  8. J

    Harambee changia madawati yafana Mwanza chini ya Wenje

    najua mwandiko na mpangilio wa kazi ni mbovu but soma kwa umakini utapata concept...ni majuzi tu ndo nimenunua lap top ajili ya kuikomboa hii nchi.....so kazi inaendelea darasani na mtaani kama hivi...
  9. J

    Harambee changia madawati yafana Mwanza chini ya Wenje

    Wadau wenje kaonesha njia on participatory approach in development,wananchi walikua wengi sana,nlikunwa na ile style,mlemavu mmoja kaja kwa baiskeli yake na kuku wake wa skukuu ambae aliomba pasaka ale dagaa ili watoto wetu wakae kwa madawati,,ilikua inatoa hisia za ndani,,kuku akapigwa mnada...
  10. J

    Waraka kwa Yahya wa StarTV

    kaka hao star tbc hawana lolote,,mie nlikua mdau wao sana katika page yao ya tuongee asubuhi on fb,nkagundua napoteza mda kwa chombo chenye misimamo yake ya kisiasa,,ebu fikiria ni mara ngapi star tbc wamewahi kucover ipasavyo habari za mwnaume cdm?? Huko ni mbali ebu piga picha...
  11. J

    CCM Madarakani: Sababu za kuitoa, ugumu wake na mbinu mbadala za kuing'oa

    mimi pia ni mwalimu lakini hilo haliwezekani kwa mwalimu wa kitanzania alshaashindishwa njaa kwa mda mrefu na kwa wakati wa uchaguzi atakua analiona tonge jiraani na mdomo labda tumuongelee mwalimu kama mimi nnae jitambua....mimi niko jikoni naandaa mbinu za kuiondoa ccm madarakani kwa kufanya...
  12. J

    Hiki ndicho kilikuwa vikosi vya CCM na CHADEMA vya kampeni! Tucheki tofauti zao

    eeeh dogo unamabooooooo....nimecheke mbavu sina,,ila tumeyadundaaaaaaaa,,,,mie nko hapa mwamza tuliyadundaaaa na sisi...tuyapa vifuti,,,mangumi ya puani mpaka lisaba likazirai....cdm kuna maraaaaaaaaaaa.....mie leo stoki nje bado yanahasira hapa mwz
  13. J

    Hatua za haraka zinahitajika, Wafuatao wameihujumu CCM

    kwanini usimuulize na zile kata tulizowadunda sababu ni zipi???all in all ccm imechokwa
  14. J

    MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

    mwanza kazi kwishaaaaaaaaaaa...cdm juuuu
  15. J

    Anayeongoza kusinzia mjengoni!

    mreme pinde wasire
Back
Top Bottom