Harambee changia madawati yafana Mwanza chini ya Wenje

JASOTA

Member
Mar 18, 2012
17
12
Wadau wenje kaonesha njia on participatory approach in development,wananchi walikua wengi sana,nlikunwa na ile style,mlemavu mmoja kaja kwa baiskeli yake na kuku wake wa skukuu ambae aliomba pasaka ale dagaa ili watoto wetu wakae kwa madawati,,ilikua inatoa hisia za ndani,,kuku akapigwa mnada kwa zaidi ya laki 2,,,umoja wa madreva tax wakawasilisha mchango wao,,,umoja wa machinga,,mama lishe,,na kada kadha wa kadha zilijumuika hiyo jana,
umati ulikua mkubwa sana na mgeni rasmi alikua mtoto wa raila odinga akiwa na msafara wa watu 6.nao kwa umoja wao waka tuchangi jumla ya ksh laki sita sawa na milioni 12 za kibongo....
Wenje alikuja na mkewe,mamake plus children.....mkutano ulificha hisia za kisiasa lakini baada ya kuitwa kwa wawakilishi mbalimbali kutoka ndani ya vyama na serikali bila mafanikio,,umati ukabaini kua hiyo kumbe ilikua kazi yetu wana cdm,,,nahapo ndpo salamu zetu zkaanza kuchukua nafasi moaka wageni toka kenya nao wakaiga peopleeeeeeeeeeeeesssssssss.....powerrrrrrrr
duuu ilikua raha sana,,,mwiiisho lakairo(mb wa rorya ntakae mmaliza 2015 kupitia chama makini cdm)akatuma cheki yake ikiwa na milioni 5,,,alipongezwa na umma kwa ujasiri wake,,,,
nadhani kama milioni 50 zilipatikana na kazi itaanza rasmi ambapo kwa mujibu wa mb.wenje madawati yatatengenezwa kwa kutumia nailoni,,haya manaylon tunayotupa kwani ipo kampuni inayookoa uharibifu wa mazingira kwa kukusanya naylon na kuziyeyusha na baadae kutengeneza madawati,,jana hyo hyo tulioneshwa moja la sampple ambalo lilikua imara kwani wanaume waloshiba walipanda juu yake na liliishia kubonyea tu,,,,ni imara na yanawea last 4 15 yearz....
Viva wenje 4 the plan,,,,,,lakini pia nligundua kwamba kwa mwz..ccm itaendelea kua chama cha upinzani kwa mda mrefu zaidi kama style hizi aka rafu hizi zitaendelea,,,siunajua ccm kama cdm wakileta changamoto za maendeleo wanadai tunawachezea rafu????coz huwezi waibia kura,,huwez tumia polisi,,,hzo ndo rafu zetu ...kuwapa wananchi maendeleo.....
Ni mimi a classrooom teacher,,,,i will kill ccm trough my teachings in the class
cdm 4everrrrrrrrrrrr
 
wadau wenje kaonesha njia on participatory approach in development,wananchi walikua wengi sana,nlikunwa na ile style,mlemavu mmoja kaja kwa baiskeli yake na kuku wake wa skukuu ambae aliomba pasaka ale dagaa ili watoto wetu wakae kwa madawati,,ilikua inatoa hisia za ndani,,kuku akapigwa mnada kwa zaidi ya laki 2,,,umoja wa madreva tax wakawasilisha mchango wao,,,umoja wa machinga,,mama lishe,,na kada kadha wa kadha zilijumuika hiyo jana,
umati ulikua mkubwa sana na mgeni rasmi alikua mtoto wa raila odinga akiwa na msafara wa watu 6.nao kwa umoja wao waka tuchangi jumla ya ksh laki sita sawa na milioni 12 za kibongo....
Wenje alikuja na mkewe,mamake plus children.....mkutano ulificha hisia za kisiasa lakini baada ya kuitwa kwa wawakilishi mbalimbali kutoka ndani ya vyama na serikali bila mafanikio,,umati ukabaini kua hiyo kumbe ilikua kazi yetu wana cdm,,,nahapo ndpo salamu zetu zkaanza kuchukua nafasi moaka wageni toka kenya nao wakaiga peopleeeeeeeeeeeeesssssssss.....powerrrrrrrr
duuu ilikua raha sana,,,mwiiisho lakairo(mb wa rorya ntakae mmaliza 2015 kupitia chama makini cdm)akatuma cheki yake ikiwa na milioni 5,,,alipongezwa na umma kwa ujasiri wake,,,,
nadhani kama milioni 50 zilipatikana na kazi itaanza rasmi ambapo kwa mujibu wa mb.wenje madawati yatatengenezwa kwa kutumia nailoni,,haya manaylon tunayotupa kwani ipo kampuni inayookoa uharibifu wa mazingira kwa kukusanya naylon na kuziyeyusha na baadae kutengeneza madawati,,jana hyo hyo tulioneshwa moja la sampple ambalo lilikua imara kwani wanaume waloshiba walipanda juu yake na liliishia kubonyea tu,,,,ni imara na yanawea last 4 15 yearz....
Viva wenje 4 the plan,,,,,,lakini pia nligundua kwamba kwa mwz..ccm itaendelea kua chama cha upinzani kwa mda mrefu zaidi kama style hizi aka rafu hizi zitaendelea,,,siunajua ccm kama cdm wakileta changamoto za maendeleo wanadai tunawachezea rafu????coz huwezi waibia kura,,huwez tumia polisi,,,hzo ndo rafu zetu ...kuwapa wananchi maendeleo.....
Ni mimi a classrooom teacher,,,,i will kill ccm trough my teachings in the class
cdm 4everrrrrrrrrrrr
najua mwandiko na mpangilio wa kazi ni mbovu but soma kwa umakini utapata concept...ni majuzi tu ndo nimenunua lap top ajili ya kuikomboa hii nchi.....so kazi inaendelea darasani na mtaani kama hivi...
 
Asante kwa taarifa. Hao Odinga family walialikwa kama marafiki wa Wenje au walikuwa wageni wa chama? Kumng'oa Lameck 2015 itakuwa rahisi sana, ingawa sidhani kuwa mtu wa kutoka Sota ataiweza hiyo kazi. :)
 
Hizi ndizo zilikuwa fikra za Nyerere, watu wajitegemeee. Kiongozi kazi yake ni kuonyesha njia, kuhamasisha na kuongoza mawazo ya wanachi ktk kujiletea maendeleo. Alisema huwezi kuwa huru kama huwezi kujitegemea. Akasistiza kwa vile chakula ndio hitaji kuu la binadamu basi tuzalishe chakula cha kutosha ili tukishiba tuweze kufikiri vizuri. Mwalimu akaibuka na slogans kama kilimo cha kufa na kupona, siasa ni kilimo. Huu ndio ulikuwa msingi wa idea za Nyerere kwa maana ya uongozi. Hii ya kutegemea kuombaomba tutabaki watumwa milele. Hakuna msaada usio na malengo ya hila ndani yake vivyo hivyo tukumbuke kauli za mwalimu Hakuna bepari mwenye urafiki wa dhati na mtu mweusi Hawa wapo kimaslahi yao zaidi. Botha nae alisema Hakuna mtu mweupe anaemthamini mtu mweusi ila ni wanafiki tu. Mugabe pia alishawahi kusema the only white man u can trust is the dead one. Viongozi wetu shime tuamke tujipange tujitegemee ili tuweze kuwa na sauti juu ya madini, nishati, ardhi na rasilimali za Taifa kwa manufaa yetu na ya vizazi vijavyo. Tukumbuke baada ya mda tutaachiwa mashimo tu hivi wajukuu watu tutawaambia nini?
 
Nimependa ubunifu wa Wenje. Wenyewe magamba wanaamini kwa wazungu. Hawataki kukubali kuwa watanzania tunaweza kujiletea maendeleo yetu bila wazungu. Nimependa hiyo innovation ya madawati kwani inaweza kumaliza kabisa tatizo la madawati nchini. Ila halahala CCM wasiingilie watapeana dili za kutengeneza madawati kwa fedha za rada na kuchakachua quality na badalya ya dawati kudumu miaka 15 linadumu miezi 15
 
This is fantastic! Inafurahisha hata kusikia na pia inavutia kuona. Ujue hata Magamba walikuwa hivi enzi za Nyerere, waliamini katika nguvu ya uma na mambo mengi yalifanywa na wananchi wenyewe na wananchi wakavipenda na kuvitunza vitu walivyozalisha kwa nguvu zao na hata wakaamini ile kauli ya Chama cha Wakulima na Wafanyakazi. Baadae kwenye miaka ya tisini chama kikaanza kuruhusu wafanyabiashara ambao kimsingi ni mabepari na sera ya bepari kwa elimu ndogo kabisa ya o-level ni mtu mnyonyaji anayejilimbikizia mali. Wafanyabiashara hao waliingia kwa gia ya kukisaidia chama kwa michango baada ya kuanza kwa mfumo wa vyama vingi na watu kutokulazimika kukichangia chama kwa lazima kama ilivyokuwa mwanzo na hata wakafikia sehemu wakawa wanaitwa wadhamini wa chama, hapa ndipo kina RA na baadhi ya wahindi matajiri wakaanza kukitia mfukoni chama taratibu mpaka hivi sasa kinajifia na mikono ya aibu usoni. CDM imewagusa wananchi na ndio maana wandiriki hata kuleta jogoo yauzwe ili wapate madawati. Uzuri na ubaya wa kutegemea misaada ya wazungu wamuulize mzee Mugabe, he knows better! Safi sana Wenje
 
Very good.....keep on Wenje, tunataka magamba waendelee kuyasiki majiji.....mapambano yanaendelea....
 
Viva young man Wenje, viva Chadema, viva wana mwanza mungu awabariki sana! That's what we want.
 
CHADEMA tuna mungu bali wao CCM wana poliis, amri na mahakama.
Peoples.............. Power........
Solidarity forever.
 
Hongera sana wanamwanza.na sisi popote tulipo tuwe tunawachangia cdm kwa ajili ya shughuli za maendeleo kwani wao ni waaminifu
 
Hongera Wenje / wageni wako/chama kutoka Kenya, wanachadema na wanamwanza wote wasiokuwa na vyama waliokubali kwenda kujitolea ili watoto wao wapate madawati.
 
Asante sana mleta hii taarifa ingawa umeichakachua sana. Kweli harambee ilifana sana na mi nilichanga pale diwani wangu wa kata ya Pamba alipokuwa akipita na peseni katikati ya halaiki.

Yote kwa yote nilifurahi sana sana nilipomwona my first girl friend tuloachana 1996 na mama yake wamekuja kujumuika na kuchanga kama wanawake wa Mwanza.
Huyu my X alinambia wao walihudhuria tangu asubuhi nikajiona mi nimetenda dhambi kwa kuhudhuria jioni.

Mwanza CCM imekufa.
 
Nimependa ubunifu wa Wenje. Wenyewe magamba wanaamini kwa wazungu. Hawataki kukubali kuwa watanzania tunaweza kujiletea maendeleo yetu bila wazungu. Nimependa hiyo innovation ya madawati kwani inaweza kumaliza kabisa tatizo la madawati nchini. Ila halahala CCM wasiingilie watapeana dili za kutengeneza madawati kwa fedha za rada na kuchakachua quality na badalya ya dawati kudumu miaka 15 linadumu miezi 15

Naipenda sana hii avetor yako kwa sababu ina sura ya jembe langu nililokuwa nalo pale CBE Dodoma. Moto wetu uliuwa kabisa tawi la CCM pale CBE.
 
Back
Top Bottom