Recent content by jamaajamii

  1. J

    Msaada tafadhali

    Kwani wanaume hawaolewi?
  2. J

    Msaada tafadhali

    Mwenzenu nashukuru sana wanajf nimefalijika sana nimepata msaada nilohitaji kumbe hakuna haja ya msenga au dalali.Sitamwacha huyu binti niko naye tayari.Jf oyeeee.
  3. J

    Jakaya Kikwete: Rais muungwana anayelipa ubaya kwa wema...

    Makosa ya kimtandao yafunga mtu ndio maana sitacomment.
  4. J

    Jakaya Kikwete: Rais muungwana anayelipa ubaya kwa wema...

    Umechelewa maana muda hauruhusu ,muda umekwisha.Kama si hivyo kwa kujipendekeza uko ungepewa ukuu wa wilaya.
  5. J

    Pembe za ndovu za zaidi ya Sh Milioni 800 toka Dar zakamatwa Uswisi

    Watu hawa wachina hata ziara ya rais wao na misaada yao sasa ipigwe marufuku.
  6. J

    Msaada tafadhali

    Mambo mengine ni off line.Nitumie namba twende off line.Wali mchafu unanukia naanza kupata majibu ya kutiya mwoyo.
  7. J

    Msaada tafadhali

    Kwani wewe unamjua Mshana?Wewe unataka mchumba au Mshana?
  8. J

    Msaada tafadhali

    Una jina zuri,salt,nikikuweka ndani nitabadilisha kidogo na kukuita Sugar.
  9. J

    Msaada tafadhali

    Yeye anaona issue yangu inahusu wachumba au wasichana,halafu anachangia ya nini?Hili ni ombi kwa wasichana tena wakikristu tu.Pia halimuhusu alozodi miaka 35.Ni vema kuangalia vigezo na masharti.
  10. J

    Msaada tafadhali

    Agnes yes,but Juma nadhani ktk sifa tajwa unaweza kosa hiyo moja.Dini vp?
  11. J

    Msaada tafadhali

    Eve,unaweza kuwa ni wewe Mungu apewe sifa maana mke mwema hutoka kwake Bwana.Naona sifa angalau ya kwanza,wewe ni mkristu.Miezi miwili nadhani nitakuwa nimepata wachumba na kuchagua mmoja na huo ndo utakuwa mwisho.
  12. J

    Msaada tafadhali

    Nitumie namba ya cm basi,tuzungumze.
  13. J

    Msaada tafadhali

    Hapana wewe ukinikubali tunatumiana namba za simu na kupanga kuonana.
  14. J

    Msaada tafadhali

    Kuokoka na kumcha Mungu ni vitu viliwi Tofauti.Mtu anayemcha Mungu anawefanya mapenzi nje ya ndoa.Lakini mlokole hawezi.Kwa ombi langu hilo siwezi kuwa mlokole.
  15. J

    Msaada tafadhali

    Mshana jr.Hilo ni ombi lipokee kama una sifa au likatae.Hakuna haja ya kunikosoa.
Back
Top Bottom