Recent content by jah bless xon

  1. jah bless xon

    Je, na wewe uliziona ndege 12 zikitembea kwa mstari jana usiku?

    Mimi niliziona juzi nikiwa Arusha..ata mchana zinapita sehemu mbalimbali,ila kwa mchana ni ngumu kidogo kuziona.kwasababu ya jua
  2. jah bless xon

    Mke amwomba mme alale na mtu mwingine ili wapate mtaji

    Habari Iko hivi, kuna ndugu yangu mmoja, tuseme ni classmate wangu ana MKE na WATOTO watatu. Sasa Kuna lizee limoja lilikuwa linamtongoza huyo MKE wa jamaa. Katika harakati zakutongozana mzee akamwambia atampa na mtaji wabiashara kama 2M hivi akikubali kulala nae. Demu kikawa kinamuwazisha sana...
  3. jah bless xon

    Je, vipofu huota ndoto?

    Wewe ukimwota Mungu unamwota ktk image gani?
  4. jah bless xon

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huyu jamaa ni TAPELI..KUWENI MAKINI..AMENILA ELA ZANGU JANA..NA SIYO MIMI TU WATU WENGI..UKISHA MTUMIA ELA (HIYO 40000)ANA KU BLOCK,NA ANAKUONDOA KWENYE GROP..
  5. jah bless xon

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    naombeni kujuwa hizo milioni 21 nikwamba ninazo ama?Kuna code wananiambia niziingize hapo..
  6. jah bless xon

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naombeni number za customer care za sportybet mwenye nazo plz..
  7. jah bless xon

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hivi watu mmeshakuta nyama chini au bado??me nlishiaga episode ya tano tu..nakaona hapa ni Shigongo fuluu..hamna Cha true story Hapa
  8. jah bless xon

    Mjue gwiji wa sheria nchini Dkt. Lamwai

    Natamani kujua miaka yako na wadhifa wako Tz
  9. jah bless xon

    DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

    Kwahiyo mikataba yote miwili unaunga mkono??ukija Tena watatu ....unaunga mkono???dandara kweli ww
  10. jah bless xon

    Makongoro Nyerere ashauri kumbukizi ya Hayati Mwl Nyerere isichanganywe na shughuli nyingine

    Uzunguni haile selasie road..tunapiga mvinyo na kina Maganga..nakina Aron (R.I.P)
  11. jah bless xon

    Siku mbaya JF

    Mimi faiza fox alishanisababisha nikala burn..
  12. jah bless xon

    Kina mama, japo kwa uchache waambieni watoto wenu wema wa baba zao

    Ata Mimi inaniuma Sana..Mama yetu alifanya baba yetu akawa mbali na sisi..nikimkumbuka dingi naumia Sana..endelea kupumzika kwa Amani BABA..HALIKUWA KOSA LETU WANAO...
Back
Top Bottom