Recent content by jaffery hassan

  1. J

    Msaada: Nisaidieni jina la hii kampuni ya Utalii

    Nafikiri Ni gap adventure Kama Ni hiyo alama ya g,wapo easy travel arusha,opposite Na equator hotel
  2. J

    Werema: Nina watoto halafu natukanwa?

    werema amepaniki angejibu hoja kwa hoja na siyo kukumfananisha mwenzio na tumbili werema anatofauti gani na hooligans wa mpira kuwafananisha waafrika na apes apite kuleee kwani kafulila hana family?????
  3. J

    Ufahamu kuhusu nyota za angani

    kweli elimu haina mwisho btw darasa zuri sana
  4. J

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    mimi nauliza ni sahihi kuwapa Kuku chotara dagaa na pumba za mahindi tu
  5. J

    East Africa: EA Single Tourist Visa Announced At World Travel Market in London

    mi nionavyo TANZANIA kutengwa kwenye hiyo what so called SINGLE ENTRY VISA hatuna kitu cha kuloose kama wanavyofikiria kwani sisi bado tunaoongoza kenya wameharibu NATIONAL PARKS zao ukiienda MAASAI MARA ni kama uko kwenye mji mdodo fulani there is that taste of CLASSIC SAFARI IN KENYA wageni...
  6. J

    Ndugu wa 'mume' wa Ufoo waja na mapya

    Tuwaite wataalam wa crime scene investigation kwa sbabu bado mapicha picha mpaka sasa
  7. J

    Olympus Has Fallen VS White House Down

    olympus has fallen ni bonge la movie nothing to compare with it ubunifu asilimia mia moja the crooks the best comedy
  8. J

    Israeli Local Breed of rooster wanaopatikana kwa nchini Kenya

    chasha naomba uni PM nami nimependa hao kuku.sharp.......
  9. J

    Majarida haya na watunzi wake:wako wapi?

    Sio ibra washokera tu ongezea na radi we acha tu kipindi hicho ni kizazi kinachopenda kujisomea vitabu na sio kizazi hiki cha mapritenda
  10. J

    VIDEO: Polisi wakiserebuka.

    wapi maaaaaaaafandeeeee
  11. J

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Aiiii BUJIBUJI WE NOMA...........
  12. J

    Kwanini mheshimiwa Hamis Kagasheki asijiuzulu?

    Mimi nafikiri suala la tanzania kujulikana kimataifa ni suala la kisera zaidi kwanini?kama kweli tungekuwa na nia nzuri na nchi yetu serikali ingefanya juhudi za makusudi ili tanzania ifahamike kimataaifa zaidi na hili tatizo limetokea baada ya utawala wa nyerere kuondoka though kipindi hicho...
  13. J

    Tabata

    duh pole sana
  14. J

    Waziri mkuu Mh. Pinda alipokutana na Papa Francis wa kwanza

    wallah jamii forum ni noumaaaaaaaaaaaaa,nimeipenda hiyo kwamba haifiki april lazima atie maguuuuuuuuuuu
  15. J

    Ujio wa Rais wa China, Xi Jinping nchini Tanzania - Machi 2013

    Ujio wa Rais wa China hapa Tanzania kwangu mimi sioni kama una faida yeyote juu ya hii nchi na sijui kama kama tunanufaika nao zaidi ya kuumia nao kwani hawa jamaa siku hizi wanatafuta soko la ajira la wananchi wao. Wachina wamejaa kwetu wakaba kila eneo wao sasa ndo wamachinga kwetu kutuletea...
Back
Top Bottom