Recent content by iwensato

  1. I

    Hotuba ya Muammar Gaddaffi ndiyo iliyonitoa machozi

    KAMA HUJUI ULIZA WENZAKO UFAHAMISHWE, MCHANGO MKUBA WA KUENESHA AU ALIKUA ANATOA GADDAF ANA LIFIKIA KUTOA WAZO LA KUANZISHA "IMF" YAFRICA NA 3/4 YA CAPIAL ATOE YEYE. but his dream never materialized.
  2. I

    Jaji mstaafu Warioba unayakana maneno yako mwenyewe au ndiyo agenda ya kuvunja Muungano?

    Jaji Waroba alisema na amekuwa akirudia kila mara kuwa walipokaa kama Tume kila mjumbe alitakiwa kuacha itikadi yake ya chama au msimamo binafsi hivyo makubaliano ya wote ndani ya Tume ndio yaliyofuatwa, zinduka.
  3. I

    Ufoo saro aanika kila kitu juu ya sakata lake

    Mtu anaweza kujipiga risasi zaidi ya moja ikiwa kwenye kiwambo aliweka sehemu ya "burst" yaani risasi zitoke mfululizo. Hata hivyo majeraha yake yatakuwa karibukaribu, si sehemu tofauti mbali.
  4. I

    EAC Chief warns Tanzania on regional Integration

    If you do not understand english better remain silent, read words carefully you will know your comment missed the point.
  5. I

    Dr. Slaa: CHADEMA ni chama kinachoamini mfumo wa KIBEPARI

    Moja ya sababu ya bei ya bidhaa kuwa kubwa ni kodi zinazotozwa katika malighafi zake na bidhaa yenyewe,mafuta, umeme na maji ingawa yapo mengine mengi. Ukiweza kucontrol hayo bei za bidhaa haziwezi kupanda sana demand itabaki constant. Mathalani iweje bei ya mafuta ya mitambo iwe ghali Tz lakini...
  6. I

    Tanzania, Burundi waachwa tena katika mazungumzo ya kuwa na Visa Moja!

    While strong economy countries like EEC embarked on single visa what is so special to Tz? Let us make use of the resources not keep them for nothing. The wazungus in mining are already in the country owning land on long terms leases but shying to brothers and sisters of EAC!
  7. I

    Tanzania, Burundi waachwa tena katika mazungumzo ya kuwa na Visa Moja!

    Tanzania wants to maintain 'individual country visa' approach while others want joint program - Tanzanian has to think twice on visa issue otherwise she gonna remain alone. Having much resources in the country does not warrant............
  8. I

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Unapompeleka mtoto wako madrasa na mwenzio anampleka kindergaten wakianza darasa la kwanza unategemea nperformance iwe sawasawa! mwingine akichaguliwa sekondari utapiga kelele kuwa kuna upendeleo?
  9. I

    Hii katuni ya Kikwete vipi?

    Hiyo picha wajameni!
  10. I

    Hii katuni ya Kikwete vipi?

    This is not fair
  11. I

    Hii katuni ya Kikwete vipi?

    This is not fair
  12. I

    NSSF inaweza kupoteza Tsh 50 bilioni

    Kuna tofauti kubwa kati ya benki na Mfuko wa Hifadhi.Wakati ambapo benki ni sehemu ambapo watu binafsi au taasisi/kampuni wanatunza fedha au kwa maneno rahisi wanafanya baishara ya fedha, Mifuko ni bima ambapo mwanachama wake akipata janga (contingency) anapata mafao kulingana na janga alilopata...
  13. I

    Pasua Kichwa Ndio huyu hapa

    Hujaelewa MadameX, anamrudisha alikomtoa baada ya kuanza kumfanyia visa, angalia anavyompiga!
  14. I

    Saed Kubenea:Ajali za Meli Zanzibar tatizo sio meli kuukuu

    Je tukiamua iwe jumba la makumbusho itakaa majini au nchi kavu? "all the same". uzembe wa kupakia abiria zaidi ya uwezo ndio sababu kubwa kwani hata ikiwa mpya haiwezi kuhimili. Angalia walivyokuwa wakishindwa kutaja idadi ya abiria waliopanda boti.
Back
Top Bottom