Recent content by Isaya J Elisha

  1. Isaya J Elisha

    Baridi ni Rafiki Yako wa UPWIRU

    Je, una tatizo la nguvu za kiume? Je, unahisi kama libido yako imepungua? Ikiwa NDIO, basi unaweza shangaa kwamba baridi inaweza kuwa suluhisho lako Utafiti umeonyesha kwamba joto la chini linahusishwa na viwango vya juu vya testosterone, homoni inayohusika na libido. Hii ni kwa sababu baridi...
  2. Isaya J Elisha

    Tafuta hela kwa mipango yako binafsi na sio kwa ajili ya wanawake

    ••••• [emoji28][emoji28] Wiki hii nataka uelewe kwanini usifuate huu msemo wa ‘tafuta hela’ ili kupata wanawake. Unatakiwa upande bustani yako ndio vipepeo [emoji1652] waje. Utaelewa kwanini ushauri huu ni mbaya na kipi cha kufanya. Tafuta hela kwa plan zako binafsi ila sio kwa ajili ya...
  3. Isaya J Elisha

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Boy WAKO ni mmeo/ boyfriend WAKO Acha kupaniki kitu cha KWANZA, cha pili hili sio Battle tunafundishana. SASA WEWE KAZA KICHWA, kwasababu unafikiri nime kuatack
  4. Isaya J Elisha

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    URIJALI SIKU HIZI NI KAZI, WANAWAKE wengi siku hizi hawakazwi VIZURI
  5. Isaya J Elisha

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    HILO ni somo jipya kabisa ila kuna VERMo nasal maeneo ya puani ambayo yana kazi ya ku detect NA TAFITI zinaonyesha wanawake walio kuwa exposed KWENYE WANAUME wenye kiwango kikubwa cha testosterone walibadilika na kuanza kuchukia WANAUME walio na kiwango KIDOGO cha T
  6. Isaya J Elisha

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    ASNTE SANA NDUGU YANGU BILA HIYO TITLE watu wangeputa shwaah shwaaah
  7. Isaya J Elisha

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Bank balance yangu hailingani na yako. KAMA UNABISHA EKA BANK STATEMENT tufundishane heshima hapa. PESA PEKE YAKE HAITOSHI. Wangapi wanahela na wanagongewa? Burden of performance siku zote iko kwa MWANAUME hata demu akikaa kifo cha mende dk 90. Bado atatoka akasema huna NGUVU za KIUME Ni...
  8. Isaya J Elisha

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Punje mbili za vitunguu SWAUMU ukiamka asubuhi. Asali na tangawizi vinasaidia PIA
  9. Isaya J Elisha

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Asante kwa kusoma. Mfundishe boy WAKO asije akaolewa mikononi mwako
  10. Isaya J Elisha

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Kuna KITU kinaitwa lesbian bed death KWENYE mahusiano mengi ya jinsia moja (mwanamke + mwanamke) kuna hii hali ambapo takwimu zinaonyeshwa KWAMBA, wandani WENGI wa jinsia MOJA hawafanyi MAPENZI mara kwa mara Na SABABU KUBWA ni kuwa MWANAMKE hazalishi KIASI kikubwa cha homoni za kiume HIVYO...
  11. Isaya J Elisha

  12. Isaya J Elisha

    Wanaume, chelewa chelewa utakuta mwana si wako

    Ndugu zangu wanaume, ukichelewa chelewa kumwaga mistari kwa mwanamke uliye mzimia kuna siku utaamka unakutana na status post "new mother in town." [emoji28] Yaani anachukuliwa sentimeta chache kutoka mikononi mwako. Unaanza kutia huruma [emoji28]! Mtokee leo wakati bado una meda, "Chelewa...
  13. Isaya J Elisha

    Unataka kutongoza bila kukataliwa?

    [emoji28] acha kukurupuka, wa kukurupuka ndungu yangu
Back
Top Bottom