Recent content by Home

  1. Home

    Nimegundua mchezo mchafu wa mke wangu

    Kwanza anza kwa ku confirm kama mtoto ni wa kwako, pili si mwanamke wa kuwa nae, hawez acha hiyo tabia, Maana ndio inayomuweka awe juu...
  2. Home

    Kukutongoza jana tu, leo una shida ya sh 40,000

    Mwanamke mzur ni mtaj tosha, atakaa mjin hapa bila kaz, lakin atavaa, atakula na ataishi... Na hizo ndio target zao... So akil kichwan kwako
  3. Home

    Duuuh, kweli wanawake wengine!

    Mwambie una bleed leo.. Akuvumilie , Huyo mwanamke hajaolewa na jamaa, ww piga then usimwambie jamaa direct ila uwe unamsisitiza jamaa asimuoe huyo dada...
  4. Home

    Huu ni zaidi ya mkosi, wanaume nimewanyooshea mikono juu!

    And it seems huyo mwanaume ni mdogo kwako... And i guess kuna factor nyingine zimemfanya asiwe na ww... Let it go, Live to fight another day, yeye sio wa kwanza wala hatakuwa wa mwisho
  5. Home

    Huu ni zaidi ya mkosi, wanaume nimewanyooshea mikono juu!

    Maisha sometimes ni kama kamari..., hata kama umeweka effort zako nying kwake but kama haikupangwa haiwez kutokea, move on.... Learn from It
  6. Home

    Naomba wife amuondoe huyu hg Mara moja, sitaki lawama

    Naona weng waliochangia ni wanawake, ila ni busara pia wanawake wajue kuwa kila mwanaume ana udhaifu wake , wengine tamaa wanazo ndogo na wengine zinakuwa kubwa, na jamaa kama huyo akichanganya na pombe tamaa zake hazikamatik... Kwahiyo Ni bora mfanyakaz aondoke aende sehem nyingine...
  7. Home

    Naomba wife amuondoe huyu hg Mara moja, sitaki lawama

    Jamaa ana point, tusimkashifu kwasababu amemchungulia ila kama kuna mtu anawazo la jinsi gan ya kumwambia wife ndio ampe, Mm nadhan jamaa aongee na wadogo zake wowote wa kiume ama rafik wa karib wa jamaa wa kiume, then indirect huyo rafik ndio aje amuambie wife .... I hope na wife atashtuka na...
  8. Home

    Anasema nimuamishe alipopangishiwa na mpenzi wake na nimpangie sehemu nyingine ili tuwe huru!

    Its okay to fall in love, but sio vizur kwenda that far, ww una mtu wako, stick nae, kama unamtaka huyo bint sio lazima uwe nae kwake, nenden lodge ..and huyo dada kakutana na ww siku chache ashakuambia mambo yake, pengine ameshawaambia watu weng sana, na ww ni mmoja wapo, so stkuta, gonga kama...
  9. Home

    Mwanaume halisi ni.....

    Wanaume Halisi au wanaume wenye uwezo kifedha?,... Pia fikiria hapo kwenu wanaume wangap halisi based na idea yako, kaka ako?, anko zako?, mmmh! Babu yako pia alikuwa halisi...😎😎😎😎
  10. Home

    Hivi ni kweli kuna wanawake wasiofika kileleni hata wakutane na nani?

    Mmmmh!! Vilele 13 , na vyote vina majina yake?, au ndio mambo ya katerero
  11. Home

    Na huyu naye kasema nisubiri, je mambo hayatakuwa kama yale?

    Hebu socialize vya kutosha, na ukimpata mwanmke usimwambie nataka kukuoa, utaumbuka.,, we kaa nae msome , then utajua
  12. Home

    Na huyu naye kasema nisubiri, je mambo hayatakuwa kama yale?

    We nawe hao wanawake wako unawachagulia wap???? , na kwan lazima uoe bikra???
  13. Home

    Inakuwaje mwanaume mpaka una miaka 30 au 40 haujaoa na una hela?

    😎😎😎😎😎😎, u got a point
  14. Home

    Inakuwaje mwanaume mpaka una miaka 30 au 40 haujaoa na una hela?

    Mmmh mbona watu mapovu yamewatoka sana.... Inawagusa ukiona hivyo, hailet picha nzur mtu una miaka 40 bado una girlfriend, kha!!! Ujana gan unakula mpaka muda huo, na nani kakuambia ukioa ndio kula ujana kunakwama???, may be kama kula ujana ni kulala na malaya..... All in all akil za maisha...
  15. Home

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Mwaka huu kwel CCM kaz tunayo.....😒😒😒😒😠😠😠😠
Back
Top Bottom