Recent content by Heavy User

  1. Heavy User

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    1xBet ni ya kijanja ila inazingua kwenye kusachi mechi na kuangalia history. unatumia nguvu nyingi kwelikweli kufanya hivyo vitu. waliangalie hili suala linawapa shida wateja wake.
  2. Heavy User

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    option za over 2.5 na GG za kisenge kweli. ukiweka GG matokeo yanakuja 3-0, unajisemea "kumbe bora over 2.5". kesho yake ukiweka over 2.5 matokeo yanakuja 1-1. unajisemea tena "kumbe bora GG". yaani tabu tupu
  3. Heavy User

    Unamkumbuka Mr Ebbo kwa kipi?

    kazi ya bhangi. "sema kichaa wake" "leo baba zamu yako kutoa vyombo"
  4. Heavy User

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    you can't join this group because you were removed
  5. Heavy User

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    🤣🤣 we jamaa unashauri mpaka unakatisha tamaa, mpaka unapitiliza.
  6. Heavy User

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hapa siyo mahala pake bro. ukija hapa hatuuziani kitu, tunadiscuss. wazee, tudiscuss kuwa na bot ya whatsapp
  7. Heavy User

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    nakazia: huu uzi siku hizi watu wanauangalia juu kwa juu halafu wanapita hivi, kuwa kimya inaweza kusababishwa na: -majukumu pamoja na sikukuu -watu wamebadilisha style ya kuanalyse mechi ndiyo maana humu kimya -mambo ya kitoto yamekuwa mengi humu, wenye akili zao wanapaona hapana maana -codes...
  8. Heavy User

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hata hivyo uko vizuri. winning rate ya 91% =10/11 siyo mchezo. wanaJF tuko vizuri kwenye kubet, wengi winning rates zinacheza kwenye 75% kwenda juu. mikeka kuchanika siyo kwamba ndiyo hatujui kubet, tuko vizuri
  9. Heavy User

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    kama wewe ni mkali wa kubet, weka hapa predictions za timu 20, kila mechi odd 1.3 kwenda juu. winning rate yako ikiwa 80% kwenda juu, tutakuona mkali. weka hapa prediction ya mechi 20 tukuone
  10. Heavy User

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    watu mna hatari. tip ya over 1.5 na over 2.5 zinaonekana kama simpo, lakini ngumu kishenzi. kwenye mechi 3 ni kawaida kuchana mechi moja. mi nimeona isiwe tabu, nimeamua kuzitema
  11. Heavy User

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hii hesabu ni pasua kichwa https://www.jamiiforums.com/threads/wataalamu-wa-hesabu-hapa-shida-ni-nini.2194693/page-2#post-49664619
  12. Heavy User

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    source: LSFOOTBALL wa facebook 🚩••#TODAYS_REGULAR_TIPS••🚩 🇪🇺#UEL 18:45;🏴󐁧󐁢󐁳󐁣󐁴󐁿 Rangers 🆚 Benfica 🇵🇹 - Ov 1.5 18:45;🇨🇿 Slavia Prague 🆚 AC Milan 🇮🇹 - X2 18:45;🇪🇸 Villarreal 🆚 Marseille 🇫🇷 - Ov 1.5 18:45;🏴󐁧󐁢󐁥󐁮󐁧󐁿 West Ham 🆚️ Freiburg 🇩🇪 - 1X 21:00;🇮🇹 Atalanta 🆚 Sporting CP 🇵🇹 - Ov 1.5 21:00;🇩🇪...
Back
Top Bottom