Sidhani kama kuna mtu inaunga mkono juu ya kijana huyo wa kikristo kukojolea quran! Ili kinachofanya nishindwe kuelewa ni uhusiano wa kuchoma makanisa na kukojolea quran! Kama kitendo hicho angekifanya Mtu mzima mwenye akili ya ki-utu-uzima hapo tungeelewa. Hata hivyo, bado tendo kama hilo...
Wale wenye nafasi ya kuonana naye ana kwa ana (huyo Esther Wassira) wamshauri ili aanze maandalizi, hata ikiwezekane ashiriki kwenye M4C na kupewa nafasi ya kushambulia jukwaa ili aweze kujulikana zaidi. Mwenzake Bulaya licha kujulikana kutokana na nafasi yake ya Ubunge, pia alishaanza...
CDM wasiahangaike sana kuchukua magamba ya CCM, wajitahidi kufanya recruitment ya vijana wasiokuwa na unajisi wa magamba kutoka kwenye vyuo mbalimbali. Itakuwa vigumu sana kuja kuwasafisha hawa mwaka 2015, magamba yanaweza kuja kugeuza kibao kuwa wao waliwafukuza ndani ya chama chao kwa kuwaona...
Sioni hasara yoyote kama Muungano ukivunjika, hawa jama wz wanainyonya Tanganyika. Tunawabembeleza wa nini hawa? Binafsi sioni faida yoyote ya kuwabeba hawa jamaa, ni wa shari na wabaguzi wa dini kwa kutumia mwamvuri wa uisilam!!!!
Wataendaji kwenye jimbo la Shibuda ambalo tayari liko mikononi mwa CDM pamoja na kauli zake tata? wanakwenda kwenye maeneo ambayo bado yako chini ya chama tawala!!!
Inawezekana wameshapenyeza watu wao kwa ajili ya kusambaratisha CDM, hivyo maelezo yake yanatakiwa kuchukuliwa uzito fulani, CDM wanatakiwa kuwa makini hasa katika kipindi hiki ambacho kumekuwa na wimbi kubwa sana la wanachama wa kile chama tawala kuhamia CDM! Tusiipuuze hiyo kauli yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.