Recent content by Hamza Mdoe

  1. H

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Bunda DC apa jamani nije Dodoma ,pwan ,Arusha , Kilimanjaro masomo English and literature in English 0654708118
  2. H

    Course zipi zinamfaa mtu mwenye gpa ya lower second kwa bachelor ya elimu katika sanaa, na yenye fursa kwake ?

    Kuna vile vya halmashaur wasaidiz WA ded ,, DEO etc vp hiv havihusian na masters
  3. H

    Course zipi zinamfaa mtu mwenye gpa ya lower second kwa bachelor ya elimu katika sanaa, na yenye fursa kwake ?

    Sorry niltaman tu kusoma masters ya kada yangu hii hii sijahtaj kuhama career na kuhusu kusubil nafas ya uafisa elimu kata au wilaya sio Kwan hamna nafas zingne Zaid ya hyo boss
  4. H

    Course zipi zinamfaa mtu mwenye gpa ya lower second kwa bachelor ya elimu katika sanaa, na yenye fursa kwake ?

    Asante sana kwa pongezi kaka Malengo yang ni kutoka hapa nilpo kupatA nafas Zaid kwa zile kaz ambazo haziangalii GPA ya bachelor Bali zenye vgezo vya masters Pia nataman nngesoma nje tatzo namna ya kupata scholarship zna ujuz huo
  5. H

    Course zipi zinamfaa mtu mwenye gpa ya lower second kwa bachelor ya elimu katika sanaa, na yenye fursa kwake ?

    Naomba maelekezo Zaid,course ipi nzur na yenye FURSA badae nkmalza masomo hayo ya Masters
  6. H

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo bunda Nije dodoma mjin ,chamwino au mpwapwa , dar ,kisarawe ,chalinze na bagamoyo au mkuranga ...idara sec masomo English and literature in English karibuni 0654708118
  7. H

    Course zipi zinamfaa mtu mwenye gpa ya lower second kwa bachelor ya elimu katika sanaa, na yenye fursa kwake ?

    HABARI wadau KATIKA jukwaa hili adhimu, Mimi ni mwajiriwa KATIKA kada ya elimu kwa masomo ya English and literature in English na ufaulu wangu kwa chuo haukuwa mzuri sana nilipata GPA ya 2.8 lower second. Je, naweza kujiendeleza masters KATIKA course gani ambyo itakuwa na FURSA mbalimbali zenye...
  8. H

    Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Habarini Ndg ZANGU , baada ya kuona uzi huu nmefarijika sana kwa maana hata Mimi ninashauk ya kwenda kusoma masters lkn nataman ingekua ni nje ya nchi ...ningeomba kuungana na Ndg yng hapo juu mnipatie maelekezo ya namna ya kupata ufadhil ... Mimi ni mwajiriwa serkalin kama mwl wa shule ya...
Back
Top Bottom