Recent content by GwaB

  1. GwaB

    Let's talk Movie: London has Fallen

    https://www.facebook.com/share/v/a2UExHNWtGg3WPcb/?mibextid=oFDknk
  2. GwaB

    Utafiti: Ndoa nyingi zimeshakufa ingawa watu bado wanaishi kama mke na Mume

    Hii mada inakaukweli kama hii ndoa ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar/Pemba😊 ☺️
  3. GwaB

    Maadhimisho ya miaka 60 ya muungano na idadi ndogo ya mahudhurio uwanjani, nini tatizo?

    Utabiri wa hali ya hewa, wameweka wazi uwepo wa mvua nyingi ukanda huu hadi mwezi ujao!!... 😳
  4. GwaB

    Muungano wetu uendelee kudumu milele na milele

    Hupaswi kunihukumu kwa kuonyesha dosari iliyotokana na maamuzi ya watu wawili yanayoamua hatma ya mamilioni ya watu. Wewe una sababu zako za kuona kuwa uko sawa, lakini usilazimishe wenye mtazano tofauti wakubaliane nawe.
  5. GwaB

    Muungano wetu uendelee kudumu milele na milele

    Huu muungano hauna tofauti na ndoa halali ya utotoni kati ya mtu mzima na mtoto wa kike chini ya miaka 18. Mahudhurio ya leo yanathibitisha kuwa ni sherehe ya viongozi wakuu, watumishi wa Serikali na wavaa magwanda.
  6. GwaB

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

    Nchi hii wizi wa kura uko kwenye vinasaba, kama haikutokea kama wasimamizi wa uchaguzi wanavyotaka, wanafuta matokeo kama ilivyowahi kutokea Zanzibar.
  7. GwaB

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano ina umuhimu gani Zanzibar?

    https://youtu.be/ubZNgy8EGzo?si=phP-u8VjjJjpXs1F
  8. GwaB

    Paul Makonda kuzungumza na waandishi wa habari muda wowote kuanzia sasa

    Nakumbuka Kolimba alivyoitwa Dodoma kuhojiwa ...Kilichotokea ni mshangao hadi leo hii.:cool:
  9. GwaB

    Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!

    Sahihi! Na mwajiri hapa ni Serikali. Kuna mwajiri mwingine kwenye Public Services?... Familia ninayo lakini haiitegemei Serikali kwenye ajira.
  10. GwaB

    Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!

    Huo ndio urasimu unaowalinda watumishi wasiozimudu kazi walizopewa. Mtaalamu akiifanya kazi yake inavyopaswa hakuna mwanasiasa anayeweza kumyumbisha. Engineer anashindwa kueleza majukumu yake kwa lugha rahisi.. halafu tumlaumu Makonda?
  11. GwaB

    Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!

    Paschal umefanya kazi Serikalini na unajua jinsi watumishi wanavyofanya kazi kimazoea na kufunika uzembe. Makonda yuko sahihi kwa staili hii ya kukabili uzembe kazini, unachofanya hapa ni kujaribu kulinda legacy ya uzembe wa kitaasisi, kitu ambacho CCM itakifanya muda si mrefu. Acha Makonda...
  12. GwaB

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    https://twitter.com/i/status/1781978684586664386
  13. GwaB

    Mkuu wa Mkoa Arusha Paul Makonda: Kiongozi Mzima Kujieleza Hujui, Mnapataje Hizi Nafasi TARURA?

    Hivi sasa,nafuatilia hiki kikao cha Makonda gizani, umeme umekatwa na hao watendaji wasiojua majukumu yao... 😭
  14. GwaB

    Waziri Simbachawene: Huenda Mpina ana ajenda. Uongozi wa Rais Samia uko kwenye viwango kuliko wakati mwingine wowote

    Simbachawene hajajibu hoja yoyote ya Mpina. Kwa kweli ameziorodhesha kama zilivyo na zaidi sana amezikazia kuonyesha kuwa zina mashiko. 🤓
  15. GwaB

    Msaada: Namna ya kupata line ya Tigo Pesa, M-Pesa na Airtel Money?

    Hivi ukiamua kuoga si lazima maji uyavulie nguo? Hizi biashara za ujanja ujanja zinaharibu kabisa namna ya kufanya biashara na watu makini. 😢
Back
Top Bottom