Search results

  1. GwaB

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano ina umuhimu gani Zanzibar?

    https://youtu.be/ubZNgy8EGzo?si=phP-u8VjjJjpXs1F
  2. GwaB

    Paul Makonda kuzungumza na waandishi wa habari muda wowote kuanzia sasa

    Nakumbuka Kolimba alivyoitwa Dodoma kuhojiwa ...Kilichotokea ni mshangao hadi leo hii.:cool:
  3. GwaB

    Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!

    Sahihi! Na mwajiri hapa ni Serikali. Kuna mwajiri mwingine kwenye Public Services?... Familia ninayo lakini haiitegemei Serikali kwenye ajira.
  4. GwaB

    Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!

    Huo ndio urasimu unaowalinda watumishi wasiozimudu kazi walizopewa. Mtaalamu akiifanya kazi yake inavyopaswa hakuna mwanasiasa anayeweza kumyumbisha. Engineer anashindwa kueleza majukumu yake kwa lugha rahisi.. halafu tumlaumu Makonda?
  5. GwaB

    Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!

    Paschal umefanya kazi Serikalini na unajua jinsi watumishi wanavyofanya kazi kimazoea na kufunika uzembe. Makonda yuko sahihi kwa staili hii ya kukabili uzembe kazini, unachofanya hapa ni kujaribu kulinda legacy ya uzembe wa kitaasisi, kitu ambacho CCM itakifanya muda si mrefu. Acha Makonda...
  6. GwaB

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    https://twitter.com/i/status/1781978684586664386
  7. GwaB

    Mkuu wa Mkoa Arusha Paul Makonda: Kiongozi Mzima Kujieleza Hujui, Mnapataje Hizi Nafasi TARURA?

    Hivi sasa,nafuatilia hiki kikao cha Makonda gizani, umeme umekatwa na hao watendaji wasiojua majukumu yao... 😭
  8. GwaB

    Waziri Simbachawene: Huenda Mpina ana ajenda. Uongozi wa Rais Samia uko kwenye viwango kuliko wakati mwingine wowote

    Simbachawene hajajibu hoja yoyote ya Mpina. Kwa kweli ameziorodhesha kama zilivyo na zaidi sana amezikazia kuonyesha kuwa zina mashiko. 🤓
  9. GwaB

    Msaada: Namna ya kupata line ya Tigo Pesa, M-Pesa na Airtel Money?

    Hivi ukiamua kuoga si lazima maji uyavulie nguo? Hizi biashara za ujanja ujanja zinaharibu kabisa namna ya kufanya biashara na watu makini. 😢
  10. GwaB

    Wale funza wa miguu waliishia wapi?

    Matumizi ya maji na sabuni yamechangia sana kupungua kwa funza ingawa bado wapo sehemu zilizosahauliwa, zisizo na lami. Funza chawa na kunguni ni kielelezo cha uchafu wa mwili na kutokujali kanuni za afya.
  11. GwaB

    Nipe ratiba ya mstaafu aliyekaribu nawe

    Naamka saa kumi na mbili asubuhi, naangalia eneo langu lote kama kuna kilichojiri. Nawasiliana na muumba wangu kwa kutafakari siku iliyopita na kushukuru au kuomba msamaha pale nilipokengeuka. Nafanya mazoezi mepesi kisha usafi wa kinywa na mwili. Ratiba hii inafuatiwa na kufungua kinywa kwa...
  12. GwaB

    Nilishiriki mapokezi ya ndege boeing 737 - MAX 9

    Serikali imepanga kupokea ndege nyingine ya Boeing 787-8 ya nini wakati moja tu kati ya sampuli hiyo ndio inayofanya kazi ya kwenda China na India? Boeing 787-8 (5H-TCJ) imekwama Kuala Lumpur Malaysia tangu mwaka jana mwezi wa kumi. Hizi ndege huenda sio mpya, zinakarabatiwa kuu kuu na kuziuza...
  13. GwaB

    Video: Itakuwa vyumba vimejaa

    Mambo ya pwani haya.
  14. GwaB

    Hii hapa Miji na Wilaya 60 zenye mapato mengi na mzunguko mkubwa wa biashara Tanzania

    Mkoa wa Kigoma na wilaya zake zote hazimo kwenye orodha hii.....Au zinahesabiwa kwenye mamlaka za Burundi?🧐
  15. GwaB

    Serikali kutumia Tsh. Bilioni 190.57 kununua V8 mpya za Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Ujenzi wa Makazi na Utawala

    Watu waliona na akili na wenye busara wakijitenga na kutoshiriki kufanya siasa, wasio na akili au hata busara watachukua nafasi. watu hawa wakishika mpini, watakacho panga au kuamua kitakuwa.... Ndio hali tuliyoifikia kwenye utawala na uongozi wa nchi hii. :oops:
  16. GwaB

    Kwanini Watanzania hawapendi kusafiri?

    https://fb.watch/ruvvZuPWc8/
  17. GwaB

    Makonda atembelea maeneo yaliyoathirika na Mafuriko jijini Arusha

    Kuna mwaka niliwahi kushawishiwa na mdau wangu ninunue eneo niweke mjengo. Picha hii inanikumbusha eneo nililoonyeshwa Unga Limited. Roho ilisita na nawapa heko wote wanaoweza kuishi maeneo kama hayo hapo hata kama ni karibu na mjini kati. 🥴
  18. GwaB

    Iran yataka Umoja wa mataifa (UN) kulaani shambulizi la Israel nchini Syria

    https://twitter.com/i/status/1779686273013215552
  19. GwaB

    Mnaojidai kumpinga Makonda siku akiwa Waziri Mkuu atawanyosha na mtanyoka anzeni kufanya mazoezi ya kuwajibika

    Mkuu, cheo cha waziri mkuu kwa muundo tulionao hakijawahi kumnyoosha mtu zaidi ya kumtambua mtu kwa ukali au upole wake. Tutengeneze katiba mpya itakayokuja kuondoa mapungufu yaliyopo sasa...aidha tujenge taasisi imara zenye kuzingatia sheria na kanuni zilizo wazi.
  20. GwaB

    Yericko: Makonda Aitwe Bungeni,Tuhuma za Kesi ya Uhaini ya mawaziri, Na Generali Mobeyo Aitwe kueleza Bunge ukweli wa Kesi ya uhaini Uliofanyika 2021

    Nadhani inahitajika tume ya kuchunguza chanzo cha kifo cha Rais John Pombe Magufuli akiwa madarakani. Ifahamike tu kama tulichagua Rais mgonjwa mgonjwa bila kujua kuwa asingevuka kipindi chake cha pili wakati mengine wakijua kuwa hatavuka. 🧐 🧐
Back
Top Bottom