Recent content by GANJA ROLLER

  1. GANJA ROLLER

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna jamaa eti anadai anauza fixed match anadai ana connection kutoka Sweden anakupa odds 200+ Kwa 120k Swali, ni kweli hizi mambo ni za kweli Kuna fixed match na watu wanazipata au niupigaji kama ule ule pay after win
  2. GANJA ROLLER

    No Agenda: Maisha ya Ngwair alijiona New York akiwa Bongoland

    Usipotambua makusudi ya Mungu kuweka kipaji maishani mwako amini usiamini kipaji kitakutesa na UTAKUFA MASIKINI na kipaji chako
  3. GANJA ROLLER

    Historia ya "Shikamoo"

    Umetulisha matango pori hapo mi navyojua ile ilikua salamu ya watumwa wakimaanisha NIKO CHINI YA MIGUU YAKO labda kama tafsiri imebadilika sawa
  4. GANJA ROLLER

    Kufuatia kauli ya WHO na maono ya Rais Magufuli kuhusu kuizoea Corona naomba shule na vyuo vifunguliwe

    Walimu wa private schools mmefika na huku mwaka huu mtakula nyasi
  5. GANJA ROLLER

    Ni hasara gani kubwa ulishawahi kuipata ikakurudisha nyuma?

    Dah! Nilishauriwa na rafiki yangu kununua nyavu za kuvulia samaki huku akinijaza kuwa kuna faida kubwa mno kwe shughuli za uvuvi.Lakini kabla sijanunua nikamshirikisha kaka'ngu akanikataza kuwa ile biashara mpaka uwe na uzoefu nayo na pia uwe unaenda nawe kuvua ila si kukabidhi wafanyakazi...
  6. GANJA ROLLER

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna wimbo fulani hv nahis ni wa Mbilia bell una mashair yanasema "mabwana wengi wanantaka mimi mwana maskini" anaejua jina la wimbo anisaidie
  7. GANJA ROLLER

    Muziki kwa wahenga sana: 60's hadi 90's

    Kuna wimbo mmoja hv nahis utakuwa ni wa Mbilia bell una mashairi fulani hv yanasema "mabwana wengi wananitaka mi mwana masikini" naomba anaejua unaitwaje anisaidie
  8. GANJA ROLLER

    Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

    Ni hv:- Papai likiiva sana linakuwa na rangi nyekundu kama damu sasa unakamua maji yake mekundu km damu unapeleka kama sample
  9. GANJA ROLLER

    Uuzaji Bange ulivyonibadilisha tabia

    Oya bado una mzigo?
  10. GANJA ROLLER

    Vilabu vya EPL kukutana leo

    Naomba ligi hata wiki ijayo mikeka itandikwe maana dah
  11. GANJA ROLLER

    Matukio ya kichawi yanayosisimua

    Tukio la yanga kufunga magoli yasiyoeleweka ndani ya dk 2 ni uchawi wa kiwango cha phd kabisa
  12. GANJA ROLLER

    Top 10 ya wakali wa Hip Hop Tanzania kwa muda wote

    Saigon,nash mc,nick mbishi?
  13. GANJA ROLLER

    Jinsi "Approver"anavyotumika kuwanyima haki watumishi

    Hv humu hakuna mwenye namba za huyo mtu au za ofisi yake maana mi hadi ninakata tamaa
Back
Top Bottom