Recent content by Full charge

  1. Full charge

    Msaada kuhusu Bulb camera

    Apana mkuu hii ni out door
  2. Full charge

    Msaada kuhusu Bulb camera

    Kabisa yani unajua humu ni kisima cha maarifa
  3. Full charge

    Msaada kuhusu Bulb camera

    Habari wadau, Nataka kununua hizi camera zenye muonekano wa bulb (taa) ili nizitumie kama CCTV kwaajili ya ulinzi nyumbani kwangu na eneo la biashara. Naombeni ushauri wadau kuhusu ubora,uimara na ufanisi wake maana najua wapo watu humu mmetumia na mnazijua vizuri.Nitangulize shukurani[emoji120]
  4. Full charge

    Wahudumu wa baa, hotel acheni kubana chenji za wateja hata kama ndogo

    Kabisa mkuu, yaani unakuta una 5000 umetumia 4500 yeye anafanya kudharau hiyo hela wakati kreti 1 analipwa 2000.
  5. Full charge

    Wahudumu wa baa, hotel acheni kubana chenji za wateja hata kama ndogo

    Yaani unakuta mhudumu anakwambia eti utaijia wakati we ni msafiri.
  6. Full charge

    Wahudumu wa baa, hotel acheni kubana chenji za wateja hata kama ndogo

    Rudisheni chenji hata kama ni 10, kiukweli nakereka sana na wahudumu wa baa wasiorudisha chenji baada ya huduma. Tambueni kwamba pesa haigawiwi bali hutafutwa tena kwa jasho, acheni kulazimisha mtu awaachie chenji kwani mtu hutumia pesa zake kwa mahesabu. Siyo kila mteja anababaika na nyie...
  7. Full charge

    Kwanini Waarabu hawataki tuoe kwao?

    Mibaguzi tu hiyo
  8. Full charge

    Kwanini Waarabu hawataki tuoe kwao?

    Kama kweli hilo andiko la nasaba kama lipo basi waliweka wenyewe
  9. Full charge

    Kwanini Waarabu hawataki tuoe kwao?

    Mbna wazungu tunamwagia ndani broo?
  10. Full charge

    Kwanini Waarabu hawataki tuoe kwao?

    Hatuzungumzii hao choka mbaya wa Nzega ambao hawana hata ndugu Oman[emoji16]
Back
Top Bottom